Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!
Mkuu,Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.
Ofisi za CHADEMA ziko Kinondoni makaburi jirani na FM club siku hizi ASET club karibu kaka uje ujiunge rasmiNinaomba munijulishe zilipo ofisi za Chadema, leo nakwenda kuchukua kadi rasmi.