Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!

attachment.php

RZ-1 nae ndani ya nyumba pamoja na mkewe....

Jakaya Kikwete
"Tumeshinda pamoja.Namshukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile alichofanya kuhimiza umoja na mshikamano wa kitaifa katika kipindi cha uchaguzi pamoja na ushindi huu.Tuendelee kufanya kazi pamoja,kutimiza yale tuliyoahidi na kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kwa maendeleo ya taifa letu.Asanteni sana"

attachment.php

Gonga hapa Hotuba ya JK baada ya kuapishwa kama Rais kwa awamu ya pili

3.jpg
4.jpg
8.jpg
5.jpg
5.jpg
 
Attachments

  • IMG00448-20101106-1137.jpg
    IMG00448-20101106-1137.jpg
    35.7 KB · Views: 505
  • P06-11-10_10-06.jpg
    P06-11-10_10-06.jpg
    63.5 KB · Views: 450
Majeshi mbali mbali yamejipanga na yanapiga gwaride kwa ustadi mkubwa kumsubiri JK, naibu waziri mkuu wa Swaziland ndani ya nyumba, I am sure Presidaa M7 hawezi kuhudhuria maana yeye na JK kama paka na panya
 
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!

Ninaomba munijulishe zilipo ofisi za Chadema, leo nakwenda kuchukua kadi rasmi.
 
Mimi naona kama sherehe hizi zimedoda. Watu mbona ni wachache sana isivyo kawaida? Labda tusubirie tuone.
 
Waziri mkuu wa Rwanda ndio anawasili kumuwakilisha mpiganaji Paul Kagame, hehe hivi hawa viongozi walioalikwa mbona wengine sijawahi kuwasikia second grade leaders
 
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!
Mkuu,
DrSlaa ataanza vp kwenda kwenye sherehe hizo kama kimsingi hakubaliani na matokeo?
Mimi nilifarijika sana kutohudhuria kwake jana kwenye kutaja mshindi...kwakweli aliitendea haki sana siku yangu ya JANA!

Sasa kitakuwakituko akienda leo kushuhudia DHALIMU akiapishwa!
Dr Slaa,...NAKUSHAURI KUWA wakati wao wakiendelea kuapishana KINYEMELA, nyie endeleeni kukusanya data za kutoa kwa waandishi wa habari keshokutwa...hata kama wakimwapisha, ukweli utawekwa hadharani, na jumuia ya kimataifa itaelewa kuwa kumeongezeka FASHISTI mwingine kwenye uso wa nchi!
 
Kwasababu zoezi la uchakachuaji lilivuka mipaka sidhani kama kutakuwa na shamrashamra kama zile za 2005.
 
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi, PM wa Msumbiji wote ndani, Lowassa anaingia hapa na wananchi wananzomea hehehe
 
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.

Jamani kwa kweli hii inatisha sana... kwanza ameingia kama kiongozi na ameingia baada ya viongozi wengine kuwa wameshaingia wakiwamo wastaafu, wageni kutoka nje ya nchi na mabalozi na ameingia na kwenda moja kwa moja eneo la wageni mashuhuri (VIP). Hakuna tatizo kwenda VIP maana pia ni sherehe ya familia, lakini angefika mapema na si kama kiongozi
 
M& amewakilishwa na Makamu wa kwanza wa Raisi, Joseph Kabila nae kama Raisi ndio anatinga uwanjani, Former spika Sitta ndio anaingia na anashangiliwa sana
 
kuna haja gani ya Taji Liundi kutangaza kwa kiingereza? si atumie kiswahili..

anyway sishabikii sherehe hizi, nimeziona kwenye TV by the way!!
 
Mheshimiwa sasa anaingia Raisi wa zamani mkuu BWM na mkewe mama Anna Mkapa na uwanja wote unalipuka kwa shangwe kuonyesha kuwa BMW anakubalika kwa miaka yake 10 aliokaa madarakani of course wrt JK
 
karibu sana chadema kaka pia kama unahitaji jimbo chagua moja lililo mikononi mwa ccm kwani 2015 ni moto kwa kwenda mbele.
 
nitabaki kuwa mwanaCHADEMA, naamini Dr Slaa kashinda uchaguzi huu. hata km watu wote watahongwa na CCM nitabaki CHADEMA peke yangu na 2015 nitaipigia kura tena CHADEMA. kama walivyo washabiki wa liverpool very royal to their club ingawa mie sio mshabiki wa liverpool ndivyo nilivyo kwa CHADEMA, I WILL NEVER WALK ALONE! hence CHADEMA WILL NEVER WALK ALONE!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom