Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 750
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!
RZ-1 nae ndani ya nyumba pamoja na mkewe....
Jakaya Kikwete
"Tumeshinda pamoja.Namshukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile alichofanya kuhimiza umoja na mshikamano wa kitaifa katika kipindi cha uchaguzi pamoja na ushindi huu.Tuendelee kufanya kazi pamoja,kutimiza yale tuliyoahidi na kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kwa maendeleo ya taifa letu.Asanteni sana"
Gonga hapa Hotuba ya JK baada ya kuapishwa kama Rais kwa awamu ya pili