Sherehe ya miaka 50 ya Uhuru wa Uganda-Maonyesho ya Kivita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe ya miaka 50 ya Uhuru wa Uganda-Maonyesho ya Kivita

Discussion in 'International Forum' started by Lambardi, Oct 9, 2012.

 1. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Wana JF heshima kwenu,
  Leo majirani na ndugu zetu wametimiza miaka 50 ya uhuru wa nchi yao,twawapongeza sana kwa maendeleo waliyofikia na mapinduzi mengi yaliyopita hapo katikati.

  Nimeshtushwa kidogo nilipoona show kubwa na ya muda mrefu ya ndege zao za vita,kubeba vifaa zikirindima kwenye anga la mji wa Tololo (kama sijakosea)...nikajiuliza maswali mengi sana,kwa nini wametuonyesha uwezo wa jeshi lao zaidi?au kuna mambo ya chini ya kutunishiana na nchi jirani??ni mtazamo wangu napenda kujua!
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kodi yao wanaitumia vizuri! wananunua silaha nzito! sisi ni ufisadi kwenda mbele tunanunua mabomu chakavu hatimaye yanalipuka yenyewe. tunanunua chopper chakavu,moja ilianguka usa river na kumuua mke wa Brigadier General! Shimbo anatuhumiwa kula fedha za askari walioenda kulinda amani somalia.
   
 3. M

  M.L. Senior Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawamtishi mtu, takwimu za kiintelegensia ni kwamba kati ya nchi tatu;tanzania, Uganda na Kenya. Kenya ndiyo inajeshi bora na lenye zana za kisasa kivita. Inafuatiwa na na Uganda ya mwisho ni Tanzania.
  Pia silaha zao walikuwa wanamwoonesha Besigye(mpinzani wa Mseven), Kagame na Joseph Kabila.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa wanatunishiana na Kenya hasa ugomvi wao wa kisiwa cha migingo!!
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Honestly speaking UGANDA kwa sasa wapo mbali sana kijeshi na sidhani km TZ tunaweza kuwafight nao kwa sasa...Inshort ata DAVIS MWAMUNYANGE nae alikuepo ktk sherehe hizo na ameona jinsi Uganda walivyo na fighter jets za kisasa different types ware displayed eg Mig and Sukhoi za kisasa achilia mbali types of copter and attacking copters....So ni somo tosha kwetu kwani sisi ndege zetu za kivita yani ni zakizamani sana helcopters ndo hatuna kabisa zaidi ya kale kamoja ka police...TZ ina magari makubwa ya kijeshi logistic military vehicle kazi yake kubwa ni kubeba mahindi na kusafirisha wanajeshi tu....
   
 6. N

  NOD JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  Uwezo wa jeshi haupimwi kwa idadi ya ndege! Tanzania bado wana jeshi imara na experienced than all the 4 States in EAC
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Acha uwoga
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Vijana wa siku hizi wamejaa uoga...
   
 9. G

  Gangi Longa Senior Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  watu hawajui kama kuna fukuto chini kwa chini kati ya Kenya na Uganda! Pale Kibaki kaonyeshwa hata kama wametungua ndege nne za Uganda bado wanazo nyingine!
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Silaha zinasaidia ila Vita ni Spirit ya wanajeshi wenyewe.
   
 11. N

  Nonda JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Wananchi je Uganda wana huduma bora za kijamii?

  Hali ya umaskini ikoje Uganda?

  Unafikiri Uganda wanaelekeza matumizi za fedha ya walipa kodi kwa kiwango cha kutosha katika sekta za kupunguza ugumu wa maisha kwa mwananchi mlalahoi? (miradi ya maendeleo)

  Je matumizi haya ununuzi wa silaha sio ya kulinda utawala wa Museveni?
   
 12. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,678
  Trophy Points: 280
  asante kwa kunijuza kama unajua mengi zaidi tiririka mkuu
   
 13. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Lengo lake ndilo hilo mkuu, lakini watu hilo hawalioni!!!
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Najua kuwa Uganda wana aim kumtoa Kenya kuwa no 1 kwenye uchumi na mengineyo...ina maana wame aim higher than no 2 ambapo ndio tulipo sisi TZ;ni mtazamo mzuri kuwa na malengo ya juu zaidi!!
   
 15. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni kweli UPDF wako kwenye process ya kutengeneza the most capable airforce in EA na jamaa Museveni ananunua brand new equipments sio kulinganisha na waKenya wanadai ndo modern zaid wakati kila kitu second/third hand! Zile Sukhoi gunshis ni fourth generation ila bado training wako nyuma kumbuka Copter ya John Garang na juzi wameangusha nyingne nne ila hawawawezi vijana wa Maj Gen Ulomi
   
 16. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  watajijua
   
Loading...