Joel
Platinum Member
- Sep 1, 2007
- 1,079
- 625
Kongole Kichuguu. Old is Gold. Tunakosa nondo zako za enzi zile mkuu. Ila hawa wachafuzi wa JF sijui tuwachukulie hatua gani,maana wanakera sana wanapotukosesha elimu toka kwa akina Kichuguu kama enzi zile. Ningefurahi sana ladha ya Jambo Forums/Jamii ya 2006/7 irudi upya. Tufanye nini?