Shemeji yetu badili gear , hiyo imeshakua common !

Shemeji yetu badili gear , hiyo imeshakua common !

basi mjaribu tabibu Asprin atakusaidia yeye
Usishtuke due my msimamo!
Coz hauzuii mie kupokea pole yako as my ment . Afu homework ile uloniachia nipate zile details zako through Mtambuzi ama Bujibuji imekua kizungumkuti !
Hao pipo wako much scarcity now days foramuni .
 
Last edited by a moderator:
Basi nna timu mie Shemeji !
Apeche alolo!
Niko ka'mkia wa Mbuzi , haumsitiri kufunika ashaa-kum zake , wala haufukuzi Nnzi !
Sijui majaaliwa yangu ni Kiherehere! Sina hakika bado kulimaizi hilo .
Nway Shem langu hebu nipendekezee timu .

Timu yangu simba karibu ila inabdi uwe mnyama kweli
 
Ameniambia imekuwa delivered anakuja na gear mpya ila sikwambiii
 
Timu yangu simba karibu ila inabdi uwe mnyama kweli

Kwa kua wanyama wa Porini wote mikia yao huning'inia kwa nyuma , lakini simba wa mjini mikia yao huning'ining'ia kwa mbele !
Mi bora Mbeya city.
 
Kwa kua wanyama wa Porini wote mikia yao huning'inia kwa nyuma , lakini simba wa mjini mikia yao huning'ining'ia kwa mbele !
Mi bora Mbeya city.

basi unifai wala mchele si wataki wa mjini ndo wazuri
 
mi sijaelewa Judgement, naomba uniandikie summary nzuri halafu unitumie kwa whatsapp.
 
Last edited by a moderator:
mi sijaelewa Judgement, naomba uniandikie summary nzuri halafu unitumie kwa whatsapp.

Mbona huko mi sina A/c mpenzi ?
Afu mbona Srade ipo clear ?
Nway labda unipe way m'badala tofauti na Whatsapp .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom