yereuwiiii
Inategemea mlianzaje...
anapenda kubembelezwa eeee
Mapenzi ni kubembelezana na sio mmoja tu ambembeleze mwenzake,kubembelezwa kuna raha yake etii,hasa kwa umpendaye.
tafadhali usiondoke wala sijachoka. and the futile circle continue.Haa bebi ina maana umechoka kunibembeleza au...? kama umenichoka bora nirudi kwetu
we kutongoza ulianzaje....???:A S-rap:
tafadhali usiondoke wala sijachoka. and the futile circle continue.
Dawa moja, stop caring hivyo visiran vyake. Atajiweka sawa na kujirudi mwenyew.
Akinuna nuna hovyo, bila ishu ya msingi mind ur ishu fanya jambo lingine, weka movie, music,chukua kitabu soma. Kama ndo mchana, mwambie unatoka kidgo.
ndio....kelele zitapungua...coz atakuwa busy na watoto!
nimekumiss we mdada...
Endelea kubembeleza si ulimpenda mwenyewe
Mnatubania vijana agemate wetu .Wakati nyie umri umeshafika alasiri.hahahh