Shemeji yenu kisirani

Shemeji yenu kisirani

hahaaaa,mada zingine bana!!!mtafutie sababu,muwashe makofi ya haja,
 
Dawa moja, stop caring hivyo visiran vyake. Atajiweka sawa na kujirudi mwenyew.
Akinuna nuna hovyo, bila ishu ya msingi mind ur ishu fanya jambo lingine, weka movie, music,chukua kitabu soma. Kama ndo mchana, mwambie unatoka kidgo.

Anaitwa Drama Queen....kwa ufupi anapenda attention. Hebu siku moja mchunie usibembelezeeeee

Uwiiiii bonge la adhabu kwa mwanamke hiyo!! Wanawake sisi tunapenda atention asikwambie mtu ukiiondoa tu hiyo ni bonge la adhabu, ila kwa wengine huwa haiwork, kuna jamaa alimuignore mkewe alafu hali ndio ikawa mbaya zaidi ilifikia wakafanyiwa hadi counceling, the problem was age difference.
 
Kukiwa na sababu ya kueleweka, hata kama kudeka usideke kwa gubu hivyo na mtindo huo huo kila siku. Maana na sisi wanaume tunahitaji kupumzika na amani. Huyo ila huyo ni kisirani tu
 
Utoto tu akikua ataacha, ye si anamuita baby! Sasa kwanini aogope kulea?
 
Kukiwa na sababu ya kueleweka, hata kama kudeka usideke kwa gubu hivyo na mtindo huo huo kila siku. Maana na sisi wanaume tunahitaji kupumzika na amani. Huyo ila huyo ni kisirani tu

Hahahahahahhahahahahahahahahahhha kisirani chekundu hicho
 
ha ha haha pole aisee kwa kuwa na kisirani.. tell her your grown up.. stop act like a baby you fool...... yawezekana ulimwambia unapenda demu anayedeka sasa wengine hawajui kudeka na kulalama ni tofauti.... zigo lako hilo beba muwe real

Chaaaaaaaaaaaaaaa ntaongea kichaga sasa hv, likisirani
 
Back
Top Bottom