Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,831
- 1,710
mhh kazi kwelikweli kama nihivyo wanawake wote wenye wazungu wangekuwa na marange mpenzi...ila range nzuri ni ile unayojua uchungu wake japo kidogo bure ghalii:lol:
nenda U-turn ukaone marange ya wake wa wazungu,kama sio marange basi manyumba ya ukweli,madini mazaga zaga kibao.....mwanamke gani asiyependa hivi jamani?.....hio ya kutolea uchungu mnh kaaaazi kweli kweli ukipewa zawadi utakataa kisa hujaitolea jasho?mie mwenzako sijivungi nikipewa kitu :lol::lol::lol::lol: tena range ndio kabisaaa nitasema asante halafu huyooooooooooooooo kuwaringishia mtaa wa pili kama sio kupeleka picha U- TURN ..:lol::lol: