Shemeji Yangu Kamkimbia Mumewe na Mwanaye, Kisa, Mzungu na Range-Rover!!!!

mhh kazi kwelikweli kama nihivyo wanawake wote wenye wazungu wangekuwa na marange mpenzi...ila range nzuri ni ile unayojua uchungu wake japo kidogo bure ghalii:lol:

nenda U-turn ukaone marange ya wake wa wazungu,kama sio marange basi manyumba ya ukweli,madini mazaga zaga kibao.....mwanamke gani asiyependa hivi jamani?.....hio ya kutolea uchungu mnh kaaaazi kweli kweli ukipewa zawadi utakataa kisa hujaitolea jasho?mie mwenzako sijivungi nikipewa kitu :lol::lol::lol::lol: tena range ndio kabisaaa nitasema asante halafu huyooooooooooooooo kuwaringishia mtaa wa pili kama sio kupeleka picha U- TURN ..:lol::lol:
 
nimekubali mpendwa ila kabla hujataka haya mambo ya kina mangeleza hebu tulia kwanza kidogo tuone mwisho wao ukoje...nadhani hauko mbali ukiwa mzuri hata mie nataka range mamitooo:lol:
 
ooooh mbona kwa mzungu huambiwi hivyo?hayo ya kusaidiana hayapo,sie tunataka ya kupewa hutaki kunipa range nikienda kwa mzungu akanipa usimlaumu mzunguu!!!:lol::lol::lol::hatari:

Saaly...sie na nani?

unaona kilichomkuta huyo dada! range kalikosa, ndoa ndio hiyo inaenda alijojo na fedheha juu. ukitaka kufurahi maisha tafuta cha kwako kwa jasho lako hata kama ni kidogo kiasi gani..anyway I hope haumaanishi unachokisema.
 
sie tupo kibao tunaotaka hayo marange ya kupewa! wewe je hupendi huo mgari?afu ukisoma vizuri huyo mdada hakupewa wala kuahidiwa range ila alikuja kuchukuliwa vyombo vyake na range :lol::lol:.mwenzako i mean every word i said! lol:lol::hatari::hatari:
 
nyie msiolala na wazungu mnaonekana wajinga mbele ya wajanja kwa maneno ya dalali mkuu mange kimambi
 
hizi ndoa hizi mmmmh,tamaa nyingi kwa kwenda mbele,unamsahau mpaka mwanao,kwa starehe ya muda mfupi
 
This is the perfect Couple...Huyu ndo dadako nini?
View attachment 25171View attachment 25172
The new generation of Change in TZ. Asante sana uturn

Hawa wazungu wengine hawana meno. Rejects huko ulaya ndo tunaletewa kuchezea wadada zetu. Kwa mfano yule wa mange, ukimuangalia vizuuri, utajua ana tatizo fulani, yaani amekaa ni mtu mwenye matatizo ya aina fulani. Haya dada zetu ndo shughuli....Sasa hili la kili ndo ndo limeniacha hoi. Hawa wadada wanamatatizo na watafikia pabaya
 
Tumekwisha
mtu unathamini vitu kuliko
familia yako.

Tulicho sahau ni wote tunazeeka
Na kaburi linatusibiri
Mbaya kabisa hukumu inatusubiri

Uwiiii tumekwisha...
 
Alicho nishangaza huyu dada ni hili.
Sio tu gari bali aina ya gari.
Dah mbona wengine hata hako Ka VITZ tungeshukuru sana.
Dah na ile kwake tu. Lakini moyo ukiridhia amsamehe tu!!!!
 
ama kweli dunia tambara bovu ivi unaweza msahau hata mwanao sababu ya mambo ya kupita na pesa ambayo kila mtu anaweza itafuta.hii dunia haina kitu cha bure jamani tujifunze ukiona unapewa tu mara leo umehongwa gari, kesho nyumba ,pesa nk lazima ujiulize maswali kila jambo lina gharama ya kulipia mwisho wa siku.
 
Mademu wa kibongo na vibabu huwa wanifurahisha sana anyway huyo mwanamke kwangu mimi hana tofauti na GOLD DIGGER kaacha ndoa sababu ya RANGE ROVER what a waste kheeee Kheeee Kheeee ndiyo yale yale unapewa RANGE ROVER la rangi NYEKUNDU hata haujui maana yake ni nini.
 
Wanamuita forensic expert. Namuona mama kili na kati ya masaki na babu Ralph.....makubwa !!! Toba. Tunasubiri ya Kisa Maliq
Ahaaaa ahaaaa ahaaa Mmakonde hao uliowasema hao banaa huwa wananiacha hoi sana wanakomaa hao:lol::lol::lol:
 
Haswa ingekuwa kama mke anapenda disco ni heri kwenda na mumewe anakwendaje clabu na yeye mke wa mtu

ka waifu wake kicheche angegongwa tu vyovyote vile.mi nakasirika sana na hizi kauli za nimeibiwa mke/mume,kwani wallet ile kwamba haiwezi kusema sitaki!?au ye ni milango wazi kwa yeyote alie na mdomo?!mke/mume haibiwi.kauziwa maneno au vitendo(kategwa)au matamaa yake tu,kachojoa,kapigwa afu eti nimeibiwa!mwambie bro wako atupe kule huyo gold digger aangalie mpango wa kulea mwana,asi-risk na ngoma bana maana hajui life span ya babu wa loliondo!
 
The Following User Says Thank You to Rubuye123 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
ooooh mbona kwa mzungu huambiwi hivyo?hayo ya kusaidiana hayapo,sie tunataka ya kupewa hutaki kunipa range nikienda kwa mzungu akanipa usimlaumu mzunguu!!!:lol::lol::lol::hatari:

yani wadada wenye mitazamo kama hii ndo mpaka mbwa wa wazungu wao wana wa-ding dang,tena huku wanarekodiwa!(sidhani ka wewe ni mmoja wao!).wanaatangaza njaa tu kwa wageni!
 
Lol I cant believe,huyo Shemeji yako kamkimbia Mumewe ilhali ana Vitz,je sisi tulio na baiskeli itakuwaje?
 
Mkuu huyo mwanamke kamwa'cha mumewe akaenda kuolewa kwingine. ebu soma huu mstari kama ulivyo andikwa in the bible.

Deuteronomy 24:2-4
2 and she leaves his house and goes and becomes another man's wife, 3 and if the latter husband turns against her and writes her a certificate of divorce and puts in her hand and sends her out of his house, or if the latter husband dies who took her to be his wife, 4 her former husband who sent her away is not allowed to take her again to be his wife, since she has been defiled; for that is an abomination before the Lord, and you shall not bring sin on the land which the Lord your God gives you as an inheritance.

Kwa kifupi huyo mwanaume hatakiwi kurudiana nae wala kumsogelea.

ampotezeeeeeeeeeeeee. Huyo hafai hata akimsamehe anaweza kupata mzungu mwingine tena kama huamini nenda kwenye website ya U-TURN
...Huyo kiukweli hawezi tena kurudi katika maisha ya ndoa. Vizee vya kizungu vikiwapata mademu wa kibongo kwa mtama wa pesa na gari wengi wao hukoboa chukuchuku (no condom), pia wanafumua mpaka tigo na akikaa naye muda mrefu demu akazoea hizo takataka ndio anakuwa amepinda jumla....Mwambie bro wako angalie maisha yake na mtoto wake tu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom