SnowBall nafikiri we are too old kwa mambo kama haya
May be tuko sayari tofauti
Maana sijaona ambacho kimemfanya mpaka amuone shemeji yake anamtega
kupigiwa magoti
na huyo mke ambaye anamuacha mdofo wake kuingia kwenye chumba chao na kutandika kitanda ni wa wapi na anaacha hata kumuandalia mumewe chai na chakula anampa hilo jukumu mdogo wake
Angalia usije mzimia taa mtoto wa watu!!!
kama atakupa wakati na yeye anameza mate (ushapata wa kukusaidia mkuu we toa namba ya cm maana utajikwaa kweli shauri yako)naomba namba ya cm ya huyo shemeji yako mkuu, sijaoa, sitakuangusha, iam serious!
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!
Kadri ninavyosoma naona kama ulishamaliza mchezo kitaambo, hapa umeleta taarifa tu. Hongera mkuu.