Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.

Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.

Mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini? mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.

Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.

Kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.

ushauri please.

unatakiwa um'boko haram ili kumaliza tatizo
 
hii ni kweli yaani imeniboa kweli

Wewe unakubalije kuburuzwa kwa nini usiwe na msimamo. Kuna ulazima gani wa wewe kumpelekea anachotaka tena bila kujali ratiba yako.... Pia naona na wewe una utoto ndani yako.
 
Mwambie huyo mchumba wako juu ya tabia ya dada yake na jinsi unavyokerwa!
 
Hahahahahah nicheke ni niwe miss mie ni nenepe kwani napelekwa buchani heeeeeeeeeee loh, niletee chips mishikaki waleta kwa nini asikuzoee wakati kaomba lifti na umemkubalia awe konda kabisa,wa moja avaa mbili ila mbili kuvaa moja ngumu sana.
I wonder kapataje namba yako??? Halaf anakujiaje juu wakat yeye ni shemeji??? Ila.umekosea sana kufanywa ----- maana ukiambiwa leta hiki unaleta kile unaleta mwisho wa siku utaambiwa kula kinyesi pia utakula

Cc. Mafikizolo
 
Huyo shemeji mpakue mzigo ndo atakuheshimu.........
 
unawezaje kupelekeshwa na mtu kama huyo na wewe unatia aibu hata kuandika mada kama hii.
 
Ni tatizo la watoto wa uswazi hilo; njaa nyingi.
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.

Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.

Mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini? mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.

Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.

Kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.

ushauri please.

Unafaa kupelekeshwa acha upelekeshwe.
 
naomba niwe tofauti kidogo, usimkatalie akikutuma we nenda tena haraka. Alafu baadae mtume na yeye akufatie vocha, akienda ikipita dakika kumi mtume akufatie chips na mishkak akienda mtakua mmemalizana. akikataa basi wakati mwingine akikutuma mwambie unakumbuka jana?
 
Kuna siku atakuagiza pedi na utapeleka!

Nilishawahi kuagizwa hii kitu na jirani yangu. Natoka zangu mjini mara napigiwa simu. Kaniagiza vitu vingi kidogo ila hila hichi akawa anasita kusema. Mimi nikadhani kusita kunasababishwa na gharama ya hicho kitu!! Mimi nikamwambia aseme, akasema tena akasema nunua ndogo sio kubwa. Mimi nikajitoa ufahamu na kumnunulia. Nafika tu na kumkabidhi mzigo, naona anakenua meno tu. Mimi nikajifanya kama naona kawaida
 
Km umejifanya door mat people will step on you.....
 
Watoto wakishashiba uji huwa wanasumbua sana....haya mrudishie baba simu yake ameshatoka kuoga
Tudiscuss nae mambo ya msingi....umesikia mtoto mzurieee....
 
Mbona unaanza kulala wala huja vuka mto? Ndio kwanza. Mkoko una alika maua!! Mpeleke sio vizuri.... Kama vitu huja zowea kufanyia watu usifanye ona sasa yamekushindaa mapemaaaaaa....
 
Back
Top Bottom