Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

akikutuma hizo chips hembu mwambie akuonjeshe utamu wake...pengine anaona unamic dodo lake tamu
 
ww ni fara ndio maana unapelekeshwa kama gari bovu mwanaume mzima utakuwaje farafara bana.
 
Kanyaboyaaa... Mtawaze shem wako bhana asije kuku nyima mdogoake... Fedhuli wee umefanywa fidodido!!!
 
Kuwa na msimamo kama mwanaume.,...utapeleleshwaje bhana......tena shemeji aaaargh...si bora angekuwa uyo mpz wako
 
your not man enough unataka ushauri wanini au we mwanafunzi?kama uwezi kumkanya
mwambie mpenzi wako amwambie dadake akuwache au unasubiri apate taarifa kutoka kwa majirani au afumanie msg ndo umweleze. tumia akili kijana
 
Hili nalo lakufikisha humu, mweleze bayana atambue kuwa anakukera, hilo likikushinda basi ZIMA TAA.
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini?.mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.
ushauri please.

Umekosea kuanza mkuu,
huo ukaribu na shemeji umekosea kuujenga,. Unatakiwa humfanye shemej yako akuheshimu.
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini?.mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.
ushauri please.

Akiuliza uko wapi mwambie upo guest house akufuate baada ya hapo utakata mzizi wa fitina
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini?.mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.
ushauri please.


Huyo ndie huyuhuyu au mwingine? : https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/579468-wana-mmu-naombeni-ushauri.html
 
Ikifikie wakat uwe na maamuz yako. Unachonyenyekea ni nn? Be strong enough bro
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini?.mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.
ushauri please.

Tena ukifanyia vitendo vinavyoendana na tabia ya mwenye ID yako, wala hakusogelei. Au hujui mwenye jina anaongoza kundi gani? Boko Haram!
 
Kwa hiyo wewe muda wote unapatikana? Na kwanini usikatae? acha uzembe jiamini wewe ni mwanaume.
 
Wanaume wengine ni wa kuchapa makofi akili zikae sawa!
Yaani shemeji anakuagiza chips yeye vibanda havijui?
Kuna siku atakuagiza pedi na utapeleka!
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.

Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.

Mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini? mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.

Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.

Kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.

ushauri please.



Hivi mkuu una matatizo mengi ya mapenzi? Maana mara umemsomesha chuo amekukimbia mara majanga haya
 
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.

Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.

Mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini? mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.

Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.

Kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.

ushauri please.

Unamwendekeza mwenyewe. Usipokee simu zake hadi pale unapotaka na kama mchumba wako atakumaindi kwa ajili ya issue ya kipuuzi kama hiyo basi ujue that relationship aint worth sh..t.
 
I wonder kapataje namba yako??? Halaf anakujiaje juu wakat yeye ni shemeji??? Ila.umekosea sana kufanywa ----- maana ukiambiwa leta hiki unaleta kile unaleta mwisho wa siku utaambiwa kula kinyesi pia utakula

Cc. Mafikizolo
samahani mamaafacebook hivi kinyesi ndo mavi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom