Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Huo ndio muda wa manfongo mkuu, tunakulaga tu,hainaga ushemeji hiyo!
 
Subiri amwambie mumewe umetaka kumbaka, bora ulasumulie ndugu zako wengine alichofanya. Huyo hata ndani ya nyumba kaka akiwepo atavaa nguo moja na kukutega kuiachia na kelele juu.

Kumwambia kaka kwanza itategemea sana na uhusiano wenu, na lazima hatakuamini kiharaka au kabisaaaaaa.
 
Huu wimbo wa manfongo utavunja ndoa nyingi...
 
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?
Wewe ungempakua
 
Jiulize na ufanyeimaginations baada ya kutoa wanao wakireno na kumuingizia yeye hali itakuwaje.mtaishi vipi hapo
 
Shame upon ur face, mpk umri huo unaishi kwa kaka, tafuta chumba panga acha kupenda vitu vya bure. Mtegemea cha nduguye hufa maskini
 
Sichangii chochote sababu naamini mada yako si ya kweli. Umenitunga tu!
 
Hii hadithi nilisoma. muda mrefu sana hata mwaka siku Mbuki
 
Kizuri siku zote kinaliwa na nduguyo cha ajabu siku akitafunwa na mimi utafura sana tatizo Litakuwa kwa kaka hima kakosea pa kuoa au hamkojoleshi.
 
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?
Kuwa ma yusufu na mke wa Pontifa. aliikimbia dhambi ya zinaaa. huyo mama hataishia hapo mwisho atamwambia kaka yako kuwa unamtongoza.
Pili kwa nini hukai kwako? kuendelea kukaa kwa ndugu ndiyo matokeo yake sasa. Huyo anaplan kukuondoa na utaondoka!!
SOMA KISA CHA YUFUSU HAPA KITAKUSAIDIA KUJUA YANAYOKUJA MBELE YAKO.
Yusufu akaona neema machoni pake, akamtumikia. Naye akamweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na yote yaliyomo akayaweka mkononi mwake.
5 Ikawa tokea wakati alipomweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na vyote vilivyomo, Bwana akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Mbaraka wa Bwana ukawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.
6 Akayaacha yote aliyokuwa nayo mkononi mwa Yusufu; wala hakujua habari za kitu cho chote chake, ila hicho chakula alichokula tu.
7 Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami.
8 Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, Tazama, bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu nyumbani, na vyote alivyo navyo amevitia mkononi mwangu.
9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?
10 Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala aongee naye.
11 Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani;
12 huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,
14 akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu, ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
15 Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje.
16 Basi akaiweka ile nguo kwake hata bwana wake aje nyumbani.
17 Naye akamwambia kama maneno hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
18 Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje.
19 Ikawa bwana wake aliposikia maneno ya mkewe aliyomwambia, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.
20 Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali walipofungwa wafungwa wa mfalme, naye akawamo humo gerezani.
 
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]Zamu ya nani leooo? zamu ya Man Pure zamu yangu itakuja kesho nisikondee baria wangu[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom