Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

ingekuwa umefanyiwa hivyo kweli na ukakataa basi usingekuja hapa kuomba ushauri. Hii stori ni matamanio yako juu ya shemeji yako na matarajio yako kila siku unaporejea nyumbani ufanyiwe hivyo ila haitokei umeamua kuitungia story. Angalia usije ukafukuzwa tu hapo nyumbani na kaka yako maana sidhani utakuwa na uwezo wa kucharge hiyo tecno yako kuanzisha thread za kutungwa kama hizi endapo utakuwa huna pa kulala.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ushauri gani tena unataka?

Ameshaelekea kibla fanya yako.

Kwanini mbuzi hawafii kwa wauza supu? Wanafia kwa watu wazembe.
 
Kwani kuna ubaya gani kulala na shemeji yako. Amejilaishisha mtafune akuheshimu la sivyo atakutafutia visa utaondoka hapo
 
sikushaur ufanye atakalo shemeji yko...but its better ukae nae mbali ikizidi sana plz muelze muelze kakako akija kujua yeye na tayali mambo yashatokea hatokuelewa

hivyo tyu! am done
 
Mkuu achamasihara na mie natumia tecno bana
 
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?
Kwa ufupi sana huyo shemeji yako ni malaya na soon mtampoteza kaka yenu na wewe ukiwemo labda uwe makini ikiwa ni kweli haukumlamba
 
Vijana jichunge sana na ngono mtakufa kipindi kisio chenu, iwezi jua shemeji yako kabeba contena ngapi? Kwa tahadhali gani na kaka yako niwangapi unaleta viuzi uzembe hapa at naomba ushauri........[emoji24] tutakuzika!!!!
 
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?

Ushaambiwa hainaga ushemeji
 
Kama ni kweli basi uhame hapo kuepusha ugomvi mkubwa na Kaka yako tafuta njia ya kumkimbia..
 
alishahadithiwa kwamba wewe sio ridhiki hivyo alikuwa akitaka kujihakikishia,na kweli jibu ametoka nalo,badala ya yeye ashindwe kukuangalia machoni wewe ndio huwezi kumuangalia machoni hivi si ni vituko hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom