Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Hii ni stori mkuu, tena ya kusadikika haijakutokea wew, nishawah kuisoma sehem b4


Haya yote kwa yote, PURE MATHEMATICIAN kweli mkuu umeshindwa hata kumu integrate mkuu.. "
Ungempasholaizeshen"
 
Kwanini unakaa kwa kaka yako hadi umepata uwezo Wa kwenda kwenye mizunguko yako..huoni aibu??
 
Umetunga au kweli? Basi nasikia siku hizi hainaga ushemeji we kula tu
 
Pole sana mtihan huo.. Jitahidi shetani asikupotoshe.
 
Duh! Chai mchana wote huu, hili jua hulioniii au dharauuu?
 
Acha ufala na broo wako atakuua ukiendeleza ujinga wako huo,chumbani kwa kakaako unafuata nini na huo utani na shemeji yako utani gani
 
Hakuna mwanamke yeyote anaweza kufanya kama unavyokuja kusimulia hapa za paukwa pakawa.
 
watoto wa visengeli aka tunakulagaaa wanaitamani hiyo chance ni zali la mentali kwao
 
Manfongo hatakuepo siku kaka yako akikupa majukumu ya mke wake uyatekeleze
 
alfu hizi tabia za watu kuleta haya mambo yakitoto sijui shemeji yangu,mara mama mkwe,mara mama mwenye nyumba zimekomaa sasa,eti kila mleta mada huwa ni descent yeye...!!!uwongo mwingine bhana mnatupotezeaga masaa wengine tu sio mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom