Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?

Tafute sehemu ya kukaa peke yako haraka sana hata chumba kimoja kapange kwani hapo hapafai tena kwani kaka yako kaoa mwanamke mhuni!! Halafu ungemwambia hiyo ni zawadi ya kaka yako. Je kaka yako kasafiri?
 
Ukisikia hainaga ushemeji tuna kulaga ndio mambo kama hayo. Ila kwa ushauri kama una jiweza kidogo ni vizuri uhame hapo koz una weza kuleta ugomvi na kaka yako kisa shemeji
 
Hiyo me mwenyewe ilishanitokeaga ila saivi najitegemea bro ni mtata anamiliki chuma nikasema pyee nani afe!!!!???
Uhandsome nao unamazara yake thou.

Wanawake ni viumbe dhaifu sana ndio mana tumeambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Hiyo me mwenyewe ilishanitokeaga ila saivi najitegemea bro ni mtata anamiliki chuma nikasema pyee nani afe!!!!???
Uhandsome nao unamazara yake thou.

Wanawake ni viumbe dhaifu sana ndio mana tumeambiwa tuishi nao kwa akili.

Eti pyeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endapo kama unayosema ni kweli, please huu ni muda mwafaka wa kuhama hapo kwa kaka yako urudi kwenu ama ukajitegemee! Ukiendelea hapo basi tegemea kupoteza maisha ama kuvunja undugu na kaka yako!
 
wewe mtoa mada unasoma kidato gani ? cha 2 au cha 1? au ww jamii ya watu wanaotumia vilainishi?
 
sasa unataka ushauri gani tena wakat ushajua ni wakat wa man fongo?? viboko 15 vya uzembe
 
Ni aibu jitu limebarehe kitambo bado linapanga foleni ya ugali na watoto wa kaka yake kwa shemeji yake! Ondoka hapo, usije baka watoto wa kaka yako!
 
...shemeji nae boya sana. Utegaji gani huo mtu hanasi aaaggghrrr. Angekuwa mkali usingechomoka daadeki...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom