Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Mpaka hapo majibu ww na Kaka yako mnayo
 
Yeye anapaswa kwend kwa wataalamu wa dna apew maelekezo ya kubeba sample rahisi kam
Mate
Nywele
Majimaji yoyote ya mtoto
Apelek huko Kapme

Then mtoto awe wake au si wake inabd tuu afukuze tuu huyo.mwanamke
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mrejesho
 
Pimeni kwa Blood Group.. Kwa kuanzia tu.. Jua Blood Group ya Faza, Maza na Dogo.. Mfano Mama B na Baba B hawawezu kua na mtoto A.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…