Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,699
Mguu wa shemeji miss neddy cc mshana jr
Attachments
Last edited by a moderator:
Mbona kama una matege??
punguza wivu wa kike
si ukubali tu kapendeza maana hata mi nimeona umepinda
Honey Faith nini maana ya vikuku miguu yote miwili?
si bure!!!wanaume bwanaa yaani kitu kidogo mnatetereka/mnaporomoka kutoka kileleni hadi bondeni..hamridhiki na uzuri wa wenza wenu.
Wivu wa kike ndio ukoje?
Honey Faith nini maana ya vikuku miguu yote miwili?
anakulazimisha umsifie kama yeye..
Wacha wivu ww mguu bila makunjo si unakuwa wa bandia?Mbona kama una matege??
Anaumwa matende.
wanaume bwanaa yaani kitu kidogo mnatetereka/mnaporomoka kutoka kileleni hadi bondeni..hamridhiki na uzuri wa wenza wenu.