Shemeji uko vizuri

Shemeji uko vizuri

Jamani kila mtu na mtazamo wake.Na kila mtu ana mtazamo wake mie nikiulizwa lazima niseme ana matege sasa sijui mnataka niamini kuwa hana

Nasisitiza hiyo miguu ina MATEGE
Mitazamo mingine sio mguu soft kbs wewe unadai matege hahaha.
 
Mmh kweli mpenda chongo huita kengeza....na kengeza huita sleeping eye...

Umeona eeeh halafu anataka kunifanya na mie niamini anachokipenda yeye.Yani guu lina tege hivyo halafu aseme hauna .......
 
wow Rich Pol kwa hizo picha mbili ni wazi huyo dada unafamiana nae kwa heshima na taadhima naomba unitumie namba yake kama miguu ipo hivyo sijui huko ndani pakoje

hapa najiuliza kisha nashushia na maji ya moto niyeyushe mafuta
 
Last edited by a moderator:

Mkuu pm uliifunga kwa men, vipi utapata hiyo namba, umesahau ama??
 
Last edited by a moderator:
wow Rich Pol kwa hizo picha mbili ni wazi huyo dada unafamiana nae kwa heshima na taadhima naomba unitumie namba yake kama miguu ipo hivyo sijui huko ndani pakoje

hapa najiuliza kisha nashushia na maji ya moto niyeyushe mafuta

Mkuu imenifurahisha sana haya nitakutumia ila hapa nina kazi ya kubembeleza analia eti ameambiwa anamatege.
 
Attachments

  • 1418300770502.jpg
    1418300770502.jpg
    56.7 KB · Views: 223
Last edited by a moderator:
Mkuu imenifurahisha sana haya nitakutumia ila hapa nina kazi ya kubembeleza analia eti ameambiwa anamatege.

hapana waliosema huyu ana matege wao wameshindwa kuweka miguu yao humu haya naisubiria
 
Back
Top Bottom