Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 293
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​