Shemeji mh mh...

Kha? huyu ndugu vipi? eti anakukaripia ukichelewa kupokea simu? Hebu achana nae tena usimpe nafasi kabisa. Na hivi hawana tena uhusiano na huyo ndugu yako, wala usijisumbue, we mheshimu tu kama mtu ambaye umewahi kumfahamu, but dont waste your time kumfikiria! Ikiwezekana mwambie wazi kwamba unakerwa na tabia yake, afate yake aachane na wewe kabisa, maana kama ni uhusiano alikua nao na huyo ndugu yako na si wewe, so aache kuku bother alaaa! Unless kama you have something for him lol!
 
Umenikosha wewe mdada... ndo mawazo yangu, in fact i think mkaka needs me more kwani yuko mo affected.

sweet hat...unacheza wewe..IVI UNAWAJUA WWANAUME VZURI MAMA?

uyo anatumia approach ya apeal to pitch...anajitia tia analilalia,anajitilisha uruma apo ili wewe uone ahh jamana uyu....then utampa time na attention zote...mwisho wa siku utajikuta ahh y not let me gve him..

wanaume wanasumaku na wanaanzia mbali mpenz....ni WAWINDAJ..apo anakulia timing tu na lengo lake nikukufanya KIFUTA MACHOZI..yaan akishakupata ndo machungu yake yataisha ,hasira ztamwisha....na io itakuwa km fimbo ya kumchapia uyo rafiki yako that nimemtia rafiki yake...apo ndo atajiesabia victory..

wanaume awakubali/kinawauma kushindwa na akishindwa atatafuta sababu za kujistfy au kujiinua tena ili aonekanae ajashindwa...

kuwa macho..uyo ANATAKA AKUFANYA TOOL YA KULIPIZA KISASI NA KUJIINUA TENA ILI AJIRIDHISHE AJASHINDWA...
 
mimi sion kama kuna umuhimu wa wewe na yeye kuendelea nae mana kama ameachana na dada yako basi mana kama unaendelea nae na wakat dada yako hana mpango nae basi wewe utakuwa unakitu unachoendelea nae
 
Usikimbilie kumhukumu, hebu msikilize kwanza ila labda ni nature ya kabila lao, hebu twambie, sio mkurya kweli huyo? Au mmachame? cheki kwanza hizo details maana kuna baadhi ya makabila ndio yalivyo ( sizungumziii ukabila msijenishtaki buree).
 
anakuamrisha.....anakukaripia......wewe bado umo tu..........mweleze huipendi tabia yake
usikute ulikuwa unasubiri simba adondoshe kipande cha nyama uokote........... kinachokufanya ushindwe kumweleza ukweli ni nini
 
sweet hat...unacheza wewe..IVI UNAWAJUA WWANAUME VZURI MAMA?

uyo anatumia approach ya apeal to pitch...anajitia tia analilalia,anajitilisha uruma apo ili wewe uone ahh jamana uyu....then utampa time na attention zote...mwisho wa siku utajikuta ahh y not let me gve him..

wanaume wanasumaku na wanaanzia mbali mpenz....ni WAWINDAJ..apo anakulia timing tu na lengo lake nikukufanya KIFUTA MACHOZI..yaan akishakupata ndo machungu yake yataisha ,hasira ztamwisha....na io itakuwa km fimbo ya kumchapia uyo rafiki yako that nimemtia rafiki yake...apo ndo atajiesabia victory..

wanaume awakubali/kinawauma kushindwa na akishindwa atatafuta sababu za kujistfy au kujiinua tena ili aonekanae ajashindwa...

kuwa macho..uyo ANATAKA AKUFANYA TOOL YA KULIPIZA KISASI NA KUJIINUA TENA ILI AJIRIDHISHE AJASHINDWA...

Maneno yako ni dhahiri na kweli kabisaa!

Dear hiyo phase ya kutongozana ilishapita na ipo out of the way,
tulifahamiana as a result ya interest yake ya kuwa wapenzi...
I know he needs me more but sio kwamba naonesha dhahiri kua
i support him more... itakua mistake na being unfaithful to the mdada,
The guy alikua anapanga surprise engagement party (he told me)
na mdada kapata a guy she is more interested in (she told me)
Iliniumiza hii situation mno... so naamini you get what i mean...
 
Wacha kukonyeza wewe!

ahh niazime jicho lako bas jaman...niazime lako ntakupa jicho langu ulitumie japo leo tu uone utamu wa kuwa na jichoMKONYEZO...
aah raha babu asikwambie mtu..trafik akikusimamisha ukishusha kioo akiona jicho linakonyeza non stop ahh mwenyeew utamskia wai mama..ahhh minamjibu gudboy...ukienda dukan mwuzaji akiona jicho tua nakwambia mama pta mbele kwenye mstar nkusaidie uwai....u jjust come

my jicho its like diplomatic viza..popoteeeeeeeeeeeeee pale napata privldge tu...SDANGANY:A S-baby:!!!!!!!
 
Maneno yako ni dhahiri na kweli kabisaa!

Dear hiyo phase ya kutongozana ilishapita na ipo out of the way,
tulifahamiana as a result ya interest yake ya kuwa wapenzi...
I know he needs me more but sio kwamba naonesha dhahiri kua
i support him more... itakua mistake na being unfaithful to the mdada,
The guy alikua anapanga surprise engagement party (he told me)
na mdada kapata a guy she is more interested in (she told me)
Iliniumiza hii situation mno... so naamini you get what i mean...

nimekusoma sweeetiee lakin still aijastfy uyo mkaka kufanya mchezo wao ...man stl a man..

nimekusoma sana na ndo mana uyo mkaka anaanzia mbali kujiweka karibu nawe ili mwshowe raman isomwe...

wat u did isnt bad...is gud...lakin kuwa NAM ..IS GUD 4U.

cz we ndo unaujua ukweli wa mdada na mkaka so kuwa NAM tu...
 
Noted... Nimetia akili...lol

Thank you.
 
sweet hat...unacheza wewe..IVI UNAWAJUA WWANAUME VZURI MAMA?

uyo anatumia approach ya apeal to pitch...anajitia tia analilalia,anajitilisha uruma apo ili wewe uone ahh jamana uyu....then utampa time na attention zote...mwisho wa siku utajikuta ahh y not let me gve him..

wanaume wanasumaku na wanaanzia mbali mpenz....ni WAWINDAJ..apo anakulia timing tu na lengo lake nikukufanya KIFUTA MACHOZI..yaan akishakupata ndo machungu yake yataisha ,hasira ztamwisha....na io itakuwa km fimbo ya kumchapia uyo rafiki yako that nimemtia rafiki yake...apo ndo atajiesabia victory..

wanaume awakubali/kinawauma kushindwa na akishindwa atatafuta sababu za kujistfy au kujiinua tena ili aonekanae ajashindwa...

kuwa macho..uyo ANATAKA AKUFANYA TOOL YA KULIPIZA KISASI NA KUJIINUA TENA ILI AJIRIDHISHE AJASHINDWA...

Mhh EXPERIENCEEE!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom