Shemeji mh mh...

Huyu hakuoni kama shemeji anayo yake mengine kama wewe huna basi kaa nae mbali, ndugu yako kaachane nae hata wewe pia huhitaji kuwa karibu nae sio kama adui but kama ex-shemeji, maana mwishoni itakuwa shemeji shemeji huku mwazima taaa
poa nitajitahid kuwa nae mbali
 
wewe ma swaga
unachotakiwa kufanya n i kutafuta boyfriend
aku keep busy,na awe anapokea simu za huyo *****
 
Usituzuge, we omba ushauri kuhusu hivyo visa vya bwana wako na si shemeji yako. Atakukaripia kwa mpango upi kama si mumeo? Kwa nini akupigie simu wakati si shemeji tena?
 
Mdada pole kwa hayo yaliyokukuta kwa huyo shemeji yako kwa usauri muwekee autoreject kwenye cmu yako hapo utakuwa umemmaliza kisayansi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom