Shemeji mawenge

Pole kaka ifike kipindi ujue vipaumbele vyako ktk maisha ni nini Sio kila mwanamke anae jiless kwako we unamla huwezi Jua ngono ni zaidi ya kupizi au kukojoa kuna spiritual ties na mambo kibao Jua mipaka yako kaka we bado kijana mdgo...
Asante mkuu, nauchukua huu ushauri
 
Kwa hakika hiyo familia yenu mmelelewa kinyume na maadili (washenzi). Fanyeni TOBA. Haya ni mambo yanafanywa na wanyama pori.
Tutafanya TOBA mkuu, Asante kwa ushauri
 
Kutiana sio laana baba! acha kutisha watu, dogo kula vitu hivyo!!
 
Bro sio siri mnazingua aiseee, inaonekana hiyo familia mlikuwa hampendani na hamuheshimiani. Kabisa mwana unakula waliokuwa wake wa kaka yako tena na bro wako mwingine anaenda kula. Badilikeni aiseee. Wasichana wako kibao mnafanya mambo ya hivyo.
Mpaka nimefikia hatua ya kuomba ushauri hapa maana yake ni kwamba nimejua kwamba hiki kitu hakipo sawa. Nikifikiria najionea aibu mwenyewe, ni kosa tuu la dakika kadhaa linakufanya mtu unakosa raha maisha yote.

Nimeomba ushauri kwene kwa sababu kwanza nahitaji amani ya moyo ambayo kiukwel imepotea kabisa. Lakini pia natamani kupata njia nzuri ya kumfanya huyu ndugu yangu asifanye ujinga kama niliofanya mimi
 
Mkuu pole sana kwa kuingia mkwenye mtego wa shemeji yako.mara nyingi mashemeji wakiwa alone ni rahisi sana kuwatafuna nina exprerience na hilo isipokuwa tu mimi nina msimamo.
Kinachomtesa shemeji yako ni upweke alio nao.Nngekuwa mimi ningemwambia bro kuwa nimepita hapo ili kama nae ana uchaji basi aache,kukaa kimya utachochea tu laana.
Nikupongeze kwa kuwasilisha maada kwa mtiririko mzuri n wachache humu wanaoandika vzur.kaa mbali nae huyo usirudie mechi tena nae maana wazazi wakijua mtawaumiza sana
 
Asante kwa kuwa positive mkuu, nauchukua ushauri
 
Hata kama bro kafa how can u slip na shem wako. Huu ni ufala na sio ujanja.. u nid prayers na rest of ur broz
 
Inaonekana bro alikwenda na UMEME kwa hiyo anaona sawa tu kumalizia hasira kwa wadogo mtu....
 
Huyo shemeji yenu ni malaya,sasa anakuuliza una mpango gani,mpango wa nini?
kwamba umpeleke kwa wazazi ama?
kachanganyikiwa huyo,na inaonekana kagongwa na kila mtu,sio nyie tu,fuatilia utaujua ukweli,achananeni nae,ikiwezekana hata salamu nae isiwepo,muuaji mkubwa huyo...
 
Kweli wewe mawenge. Sasa hapo akipata mimba nan atakua baba kati yako na huyo bro? Tafuta wa kwako huyo achana nae mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…