Shemeji mawenge

Shemeji mawenge

Nimepitia baadhi ya maoni ya wadau humu nimeona kila mmoja amekupinga kwa kitendo ulichofanya, of course kitendo hiko hakipaswi kufanywa na mtu aliyestaarabika tena kwenye karne hii ya 21 iliyojaa maradhi ya kutisha.
Muhimu umegundua kosa lako hakikisha hurudii tena, yaani hapo kama brother ako alikufa kwa ngwengwe mnataka wote mfe??
Acheni hiyo mambo Mkuu.
 
Mkuu, Nimeupokea ushauri. Asante
 
mfano kaka yako anaamka na kuyaona yote unayoyafanya. utajisikiaje?
 
Ama kweli kuna familia zingine ni chafu sana ila wanasemaga madomo zege ndo style zao hizi kupenda mteremko hua hawapengi hussling za mtoto hakuelewi hapokei simu mpaka anakaa sawa..
 
Yaani Mr mawenge hebu jaribu kumweleza yesu matatizo yako,hebu kaa ufikirie vizuri! Yaani kihasara hasara tu unatembea na mademu wa kaka yako? Hivi unajua kiimani unavuna laana na mikosi kiasi gani kutoka kwao?mwambie Mungu kuwa umekoma ili akusafishe uanze upya safari yako,saw a mzee wa wenge?
 
Kama Brw,, alikua na Ngoma basi atawauwa wadogo zake wawili pamoja na mtoto wake.

Asante sana.
 
Yaani Mr mawenge hebu jaribu kumweleza yesu matatizo yako,hebu kaa ufikirie vizuri! Yaani kihasara hasara tu unatembea na mademu wa kaka yako? Hivi unajua kiimani unavuna laana na mikosi kiasi gani kutoka kwao?mwambie Mungu kuwa umekoma ili akusafishe uanze upya safari yako,saw a mzee wa wenge?
naelewa mwenye shamba, asante kwa ushauri
 
Pole dogo kikubwa umejua kosa basi usirudie kosa. Tubu badilika na pima afya yako uanze upya. Still young to die
 
Familia yenu wote mnapepo la umalaya na pia malaya lazima ampate malaya mwenzake
Punguza ukali wa maneno mkuu, sawa unaweza kuwa umeamua kuhukumu lakini sio "familia yenu wote"..familia hii ina sisi tuliofanya huu ujinga na ina wazazi pia, how comes familia yote tunaitwa malaya kwa kosa la watu wawili tuu?!
 
Pole dogo kikubwa umejua kosa basi usirudie kosa. Tubu badilika na pima afya yako uanze upya. Still young to die
Sister Cajojo, hili ni kosa ambalo nalijutia sana..at least nmesema hapa nimepata relief kidogo regardless matusi nnayopokea.

Nimemwambia huyu bro kuhusu hiyo issue na nnashukuru Mungu amenielewa na hakutaka tena kuongea chochote na huyu shemej etu zaidi nae amejutia kwa ujinga aliotaka kuufanya.

Kuhusu kupima afya nitafanya hivyo japo najua katika sarakasi zangu zote sijawahi kucheza 'peku' na nilichukua tahadhar zote.

Asante Sisy
 
halafu mkuuinaonesha ni jinsi gani ulivo na akili ya kitoto, yaan hii thread inanithibitishia kua akili yako haina tofauti ya dogo waa darasa la 3D. Endelea na ujinga wako
 
Back
Top Bottom