Shemeji mawenge

Shemeji mawenge

Asantee sis,
Pole sana starboywiz kikubwa umeshalitambua kosa lako. Hebu omba Mungu akuondoleee hiyo laana na mikosi pia uloipata kwa huo uasherati. Kuna watu wanafanya mambo ya ajabu na yakutisha mno lakn hawajisem hadharan tu. Kwanza we ni jasiri sana umejiweka wazi so wewe siyo wa kwanza kutenda dhambi, kikubwa mwambie Mungu atakusamehe na utakuwa huru kabisa.
Jikite sasa kwny issues za maana(masomo) kila kitu kitakuwa sawa.
 
Asante mkuu, barikiwa
 
Kaka yako huko alipo anakuona jinsi ulivyo n moyo wa kishetani
 
Nyie ndiyo mna mawenge...

Kama una mahusiano yako Rasmin ulimtongoza na kulala nae wa nini?

Wewe na huyo kaka yenu mnachomfanyia mjane siyo vizuri hata kidogo... mnasikitisha sana...

Cc: mahondaw
 
Wanaume wameisha hii dunia.
Mwanaume unaleta privacy zako kwenye majukwaa kama hivi
 
hapa nawaza tu kwa sauti siku mkija kusikia kuwa marehemu kaka yenu alikuwaga na ule ugonjwa ule

yani kutakuwa hata hakuna wa kunliwaza mwenzake..

kamwe huwa siwezi kulala na mwanamke aliyetembea na mshkaji wangu sembuse ndugu.. niliwahi shuhudia washkaji wanne wakianza kutumia ARV kwa sababu za kupasiana demu ..

ushauli wangu mkuu..ulichofanya ni kosa na uzuri umegundua basi jitahidi usije rudia tena
 
NA NIKWAMBIE KITU!!
KAKA YENU ALIUMIZA HAO WANAWAKE NA WAO WANAMUUMIZA MAMA YENU!!

HAKUNA MZIMA HAPO!!
Bado Kaka MMOJA!!
 
Jiulize baby kaka yako alikufa na nini?
Halafu ukapime afya sasa sisemi kuwa hakuwa mzima ila mtu akifiwaga na mme au mke na bado ni young mjiulize sana kusex na aliyebaki ni ishu pevu .
Halafu wewe ni young acha kaini
angalia sana k kwanza zipo nyingi tamu zingine hadi zina lock keys wewe huyo kwenye used ulikuwa una njaa hivyo ungeenda hata kununua dah mnakazi nyie ni wahaya nini ?
 
Back
Top Bottom