Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,456
- Thread starter
- #21
Ndiyo mkuu nnakifahamu..Kuna Swali umeulizwa na mdau hapo juu, unajua kilichomuua kaka yako?? hicho mnachokifanya kitawamaliza wote!!
Ndiyo mkuu nnakifahamu..Kuna Swali umeulizwa na mdau hapo juu, unajua kilichomuua kaka yako?? hicho mnachokifanya kitawamaliza wote!!
Asante mkuu, nauchukua huu ushauriPole kaka ifike kipindi ujue vipaumbele vyako ktk maisha ni nini Sio kila mwanamke anae jiless kwako we unamla huwezi Jua ngono ni zaidi ya kupizi au kukojoa kuna spiritual ties na mambo kibao Jua mipaka yako kaka we bado kijana mdgo...
Tutafanya TOBA mkuu, Asante kwa ushauriKwa hakika hiyo familia yenu mmelelewa kinyume na maadili (washenzi). Fanyeni TOBA. Haya ni mambo yanafanywa na wanyama pori.
Kutiana sio laana baba! acha kutisha watu, dogo kula vitu hivyo!!Nyinyi ndugu mliobaki msipoangali mtaishi, khaaa mambo gani hayo mnafanya jamani? na wewe hapo ulipo una mahusiano na mwanamke alikuwa wa kaka yako wa kwanza kama haitoshi umeenda kutembea na mwingine aliezaa nae, tena mnashea wewe na mwenzio kwa akili tu ya kaiwada hauoni kama hiyo ni laana inawatafuta na itaendelea kuwatafuta maana mnaipa nafasi, mkimaliza kutembea na wanawake wa huyo marehemu kaka yenu mtaanza kushea wanawake zenu. Naamni mpaka umepata wazo la kuja kuomba ushauri kuna kitu wewe mwenyewe umegundua hakiko sawa, sasa basi hebu ongea na Mungu wako, OMBA TOBA kwa kumaanisha, Muombe Mungu akuondolee hiyo ROHO ya uzinzi, na uvunje vifungo na laana zote zilizowashikilia wewe na ndugu zako trust me hiyo ni laana mmeijenga na msipoivunja sasa itawagharimu sana maishani. Na uachane hata na huyo mwanamke mwingine ulienae muombe sana Mungu akuongoze, jamani mpaka nimetetemeka, najua uzinzi upo ila duh mengine yanatisha
Mpaka nimefikia hatua ya kuomba ushauri hapa maana yake ni kwamba nimejua kwamba hiki kitu hakipo sawa. Nikifikiria najionea aibu mwenyewe, ni kosa tuu la dakika kadhaa linakufanya mtu unakosa raha maisha yote.Bro sio siri mnazingua aiseee, inaonekana hiyo familia mlikuwa hampendani na hamuheshimiani. Kabisa mwana unakula waliokuwa wake wa kaka yako tena na bro wako mwingine anaenda kula. Badilikeni aiseee. Wasichana wako kibao mnafanya mambo ya hivyo.
Hapana, inawezekana nina tabia nyingi hatarishi..lakini kutokuvaa kinga sio mojawapoHahaa kijana umetiisha but huwa unapiga kavu?
Asante kwa kuwa positive mkuu, nauchukua ushauriMkuu pole sana kwa kuingia mkwenye mtego wa shemeji yako.mara nyingi mashemeji wakiwa alone ni rahisi sana kuwatafuna nina exprerience na hilo isipokuwa tu mimi nina msimamo.
Kinachomtesa shemeji yako ni upweke alio nao.Nngekuwa mimi ningemwambia bro kuwa nimepita hapo ili kama nae ana uchaji basi aache,kukaa kimya utachochea tu laana.
Nikupongeze kwa kuwasilisha maada kwa mtiririko mzuri n wachache humu wanaoandika vzur.kaa mbali nae huyo usirudie mechi tena nae maana wazazi wakijua mtawaumiza sana
Inaonekana bro alikwenda na UMEME kwa hiyo anaona sawa tu kumalizia hasira kwa wadogo mtu....Kama sio MUST ni TIA au Mzumbe wewe. Mbona vyuoni wanawake wamejaa mkuu.? Hiyo tamaa gani kumkula shemeji yenu.?
Mwanaume ana vichwa viwili sasa nyie mna vichwa sita mmezidiwa na kichwa kimoja.? Ila shemeji naye anaonekana chama la wana. Kuweni makini yawezekana hamna uhakika kama bro alikufa kwa nini.
Nakuuliza. Unalijua tego wewe.?
Hapana mkuuWe jamaa ko kaka yenu alivyo RIP mlishangilia sio??