SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Shida itakua mimi kuanza kuumiza akili kuitafasiri hiyo lugha aliyotumia.... Sipendi kujichosha....

Hata mtu akiniandikia x badala ya s simjibu

Kusema ukweli namjibu ili asipige simu anapiga simu mpaka noma na sometimes nakuaga na jamaake she still calls me...speaking of x instead of s hapo sasa ndio huwa simwelew hasa mtu akiwa mwanaume anaandika x kwenye s namwambiaga ukweli...
 
Wewe sio baharia au ni baharia wa maji baridi hapo chakufanya kipo wazi na ungekuwa umeishakata udhia. Au nyumba haina choo?
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
 
Shemeji yako mwenyewe nanga,hata kuandika shida.Haya nenda kamnyooshe kiuno.
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Kuna KY ujue acha tamaa
 
Wewe ni kiazi. Yaani unaandika sms na kujijibu mwenyewe halafu unatuaminisha huyo ni shem wako

we jamaa naandika msg na kujijibu mwenyewe ebu nielekeze application ya ivyo kwene APP STORE....me situmii simu ya android yenye apps nyingi nying za ajabu mkuu
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Linda ndoa ya mwanao. Muite muonye.
 
Labda hapo ndio nimekuelewa sasa mkuu. Ukimla huyo atakuganda mpaka utashtukiwa na jamaa yake itakuwa sio. Kama vipi mchane live huyo demu kuwa heshima iwepo , la sivyo utamwambia jamaa yake
Ushahuri huu sio mzuri hata mapenzi yana nguvu kuliko urafiki wakati yeye anamtisha demu anaenda mchongea kule kuwa rafiki yake anamtaka huoni itakua ni balaa ambalo msela alikua anakwepa. Yeye aendelee mchenga tu mpak demu ajiongeze mwenyewe
 
Dah....yaani Kuna text ukiisoma...wala hauhitaji picha ya mtumaji....nenda kajilie dogo
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA

Huyo achana naye, wewe nipe mimi contacts zake wewe hakufai hata kidogo.
 
Shemeji mbona msg za kawaida tu. Kama kaanguka ni kwa ajili ya pombe we mkaushie siku ukiona mauza uza mengine ni tag
 
Msukuma aisee, wa Shinyanga ila sehemu sijui
Ndyo maana hawa wasukuma ni kawaida yao! Hasa (wanyantuzu) kutoka Simiyu mkeo kulala na rafiki zako ni kawaida sanaa!

Kuna dem mmoja nilimuambia rafiki yangu huyu Binti namtaka baada ya miezi kadhaa nikamkuta kwa nyumba aliyopanga rafiki yangu!

Nikaona hapa itakuwa raisi kumpata. Mshikaji akaniachia gheto nikala mzigo!

Badaa miezi kupita akaniambia yule dem nilishakula kabla yako!

Nilicheka sanaaa!!!! Hiyo ndiyo Simiyu-Bariadi!
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Kwana huyu mwanamke sio mjanja.
Hata kuandika hajui.
Achana naye atakuletea matatizo
Wanawake wapo wengi sana.
Inaonekana kabisa huyu sio hadhi yako.

Hapo hata namba ya simu ungemblock kabisa shemeji yako manke hachelewi kukusingizia

Wanawake wanaokuja kihivyo huwa nawapiga za mbavu hadi hawaamini.

Hutakiwi kutembea naye
 
Back
Top Bottom