Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,312
Hujui wapi wakati mwenyewe umetokea huko huko mkuuMsukuma aisee, wa Shinyanga ila sehemu sijui
Hujui wapi wakati mwenyewe umetokea huko huko mkuuMsukuma aisee, wa Shinyanga ila sehemu sijui
Mmekutana akili ziko sawa
mbona sms zake sizielew
komaa nae kiroh safiMkuu me mwenyewe napambana nae hivyo hivyo....
Hujui wapi wakati mwenyewe umetokea huko huko mkuu
Wamekutana kopo na mfunikoNgoja kwanza! Huyo shemeji yako unaweza kuchat nae na ukamuelewa vizuri?
usimle shemeji yako....heshima yako itaharibika......kaa nae mbali
Wamekutana kopo na mfuniko
Ukienda nenda kitabu cha jifunze kusoma na kuandika! Darasa la 4 mpka la 7
Nenda kamtengue kiuno
Shule ni muhimu sana. Umasikini ni tatizo.Ni hayo tuu
Mbona mimi sioni tatizo lolole kwa huyo shemeji yako? Chatting ni za kawaida tu, lands wewe ndiye unayetaka kulazimisha kujiongeza umfikirie vingine huyo Shem.
Labda hapo ndio nimekuelewa sasa mkuu. Ukimla huyo atakuganda mpaka utashtukiwa na jamaa yake itakuwa sio. Kama vipi mchane live huyo demu kuwa heshima iwepo , la sivyo utamwambia jamaa yakeJamaa mida anayoniambiaga niende kwake ni mida mibovu sana au muda ananiomba nimpeleke daah mpaka huwa najiuliza sana ila kusema ukweli ningekuwa nina tamaa ningeshamla kabisa, kuna siku kanipeleka mpaka kwake akaniambia nisimwambie jamaa kama nimeenda mpaka kwake? sasa kwanini iwe hivyo na jamaa ni mshkaji wangu ?