SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Mfundishe kiswahili kwanza.😆


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649


Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA


NAWASILISHA
Mpotezee
 
Trust me hy mwanamke kwa maandiko yake hata hata akili zake hivyo hivyo ukimtafuna tu lzm mbambwee na jamaa na alivyo unawez kuta kapenda hako kagari kako ndiio kanamchanganya

🤣🤣🤣 me namkimbia saivi ndugu yangu jamaa asije ona me namkosea heshima bure wanawake wapo wengi bana
 
Back
Top Bottom