SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
dah ndio maana sisi wengine hatutaki mazoea na mashemegi ujue
 
Maswala ya kutonesha chati zako na mabeki tatu wa majirani zako hatutaki, shemeji kaishia darasa la pili au ndio tuseme shemeji yetu mzungu mweeee
 
Maswala ya kutonesha chati zako na mabeki tatu wa majirani zako hatutaki, shemeji kaishia darasa la pili au ndio tuseme shemeji yetu mzungu mweeee

Mkuu mabeki tatu tena 🤣🤣🤣🤣 nyie jamaa mnadharau kazi za watu...me pia ni houseboy tumekutana hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa uandishi huo wa shemeji nisingemjibu hata iweje.... Labda apige simu
 
alafu anakwambia bi dada ni mzuri

Aisee hapa daslama wadada wengi tu wazuri wape peni waandike utashangaa, maneno yanavyowatoka mdomoni utadhani linajua kumbe hamna kitu upstairs sasa tuwatenge ? hatuwatengi tunawavumilia, kuna mmoja alikuwa anataka kuandika individually, yeye akaandika indigul nikamuuliza umeandika nini akapronounce individually 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, NB: wengine fursa za kusoma hawajawah pata so its not them to blame...unawakaushia tu..
 
Kwa uandishi huo wa shemeji nisingemjibu hata iweje.... Labda apige simu

Hahahaha kama umewaki kusoma kitu inaitwa development studies na ukaielewa utamjibu tu...Tunasoma shule lakin the community we come back to serve, have 95% of ignorant people na ndio tunadeal nao sasa kwakuwa wewe umesoma you adapt the environment either way....
 
Shida itakua mimi kuanza kuumiza akili kuitafasiri hiyo lugha aliyotumia.... Sipendi kujichosha....

Hata mtu akiniandikia x badala ya s simjibu
 
Hamna ni kazi naiheshimu lakn wao ndio wana uandishi wa kiswahili hivyo .. anyways shemeji kaumia kiuno nenda kamkande mkuu

mkuu 🤣🤣🤣🤣, unaujua uandish wa mabeki tatu basi umepambana vita nyingi sana 🤣🤣🤣🤣, me nlidhan ishue ni shule kumbe ndio mwandiko wa mabeki tatu, basi sawa...
 
Back
Top Bottom