SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Hizo text mnazotumiana unatengeneza ushahidi.

Ole wako jamaa yako azinase, huo uadui utakaotokea utashangaaa imekuwaje!
 
NAWASILISHA kwa uandishi huo,huyo jamaa yako kala hasara,cha kufanya wewe fanya kama askofu wa ufufuo na uzima halafu jamaa akimaind unamwambia,,,Ni wivu tuuu.
 
Hizo text mnazotumiana unatengeneza ushahidi.

Ole wako jamaa yako azinase, huo uadui utakaotokea utashangaaa imekuwaje!

Mkuu nimefanikiwa kumahinda shetani nishafuta na sitak mazoea, na nimemwambia apunguze spidi
 
Kwana huyu mwanamke sio mjanja.
Hata kuandika hajui.
Achana naye atakuletea matatizo
Wanawake wapo wengi sana.
Inaonekana kabisa huyu sio hadhi yako.

Hapo hata namba ya simu ungemblock kabisa shemeji yako manke hachelewi kukusingizia

Wanawake wanaokuja kihivyo huwa nawapiga za mbavu hadi hawaamini.

Hutakiwi kutembea naye

mkuu nimekuelewa aisee
 
Mkuu nimefanikiwa kumahinda shetani nishafuta na sitak mazoea, na nimemwambia apunguze spidi
Hongera, na ikiwezekana usije ukajibu tena text zake. Kama anashida atakuambia live siyo kuchat tena chat zenyewe zinaelekea mahaba mahaba. Hakuna kitu kinauma kama mke, believe me!
 
Ndyo maana hawa wasukuma ni kawaida yao! Hasa (wanyantuzu) kutoka Simiyu mkeo kulala na rafiki zako ni kawaida sanaa!

Kuna dem mmoja nilimuambia rafiki yangu huyu Binti namtaka baada ya miezi kadhaa nikamkuta kwa nyumba aliyopanga rafiki yangu!

Nikaona hapa itakuwa raisi kumpata. Mshikaji akaniachia gheto nikala mzigo!

Badaa miezi kupita akaniambia yule dem nilishakula kabla yako!

Nilicheka sanaaa!!!! Hiyo ndiyo Simiyu-Bariadi!

daaah noma sana aisee noma sana
 
Mke wa mtu huyo? Kuna dhambi nyingine hata shetani atazikana.
 
Shemeji mbona msg za kawaida tu. Kama kaanguka ni kwa ajili ya pombe we mkaushie siku ukiona mauza uza mengine ni tag

Ahaha nishaanza kumkwepa mkuu akizingua nakutumia namba zake upambane nae
 
Back
Top Bottom