Pole sana mkuu,toa location ili wananzengo tukamjulie hali,,,maana sote ni ndugu,,vipi chura ipo?
Nahitaji kujua maana yaweza kuwa chanzo cha ajali,dereva boda alizidwa uzito,
We endelea kumchekea kitakachofata usijesema shetani kakupitia mkuu
Nakushauri anza kwanza kufuatilia uraia wake. Ni kama anatokea nchi jirani kwa mgomvi aliyetumwagia wanawake tele hapa bongo!!
Mbona nyote hamjui kuandaka sasa???
Hongera mkuumkuu mimi nisharudisha mpira kwa kipa nawaachia wanazengo wengine
Au waonaje....?🤣🤣 daaah
Au waonaje....?
umwambie sasa, usikae kimya.....Hayo majukumu nimemwachia jamaake...