SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Ndyo maana hawa wasukuma ni kawaida yao! Hasa (wanyantuzu) kutoka Simiyu mkeo kulala na rafiki zako ni kawaida sanaa!

Kuna dem mmoja nilimuambia rafiki yangu huyu Binti namtaka baada ya miezi kadhaa nikamkuta kwa nyumba aliyopanga rafiki yangu!

Nikaona hapa itakuwa raisi kumpata. Mshikaji akaniachia gheto nikala mzigo!

Badaa miezi kupita akaniambia yule dem nilishakula kabla yako!

Nilicheka sanaaa!!!! Hiyo ndiyo Simiyu-Bariadi!

Aiseee, noma!!!
 
wacheka nini?

Enhee mmeishia wapi na shemeji yako?

Nimekubali yaishe nimemkalia mbali sana, tutagombana na rafiki angu bure kisa papuch ambayo hata mwanamke mimwingine anayo ile ile na nikitaka naweza ipambanie nimemwacha shetani apite kiroho safi
 
Watu wanaoandikaga mwandiko kwa wa Viatu vya Samaki huwa wepesi kupata Mimba sana hao.
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
 
Pole sana mkuu,toa location ili wananzengo tukamjulie hali,,,maana sote ni ndugu,,vipi chura ipo?
Nahitaji kujua maana yaweza kuwa chanzo cha ajali,dereva boda alizidwa uzito,
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Nakushauri anza kwanza kufuatilia uraia wake. Ni kama anatokea nchi jirani kwa mgomvi aliyetumwagia wanawake tele hapa bongo!!
 
Back
Top Bottom