Shemeji huyu anataka nini?

Toka ulipoona linakuzunguka kichwani ungekula si ungekuwa umeshahau na ushetani ungeshakutoka sasa ungekuwa chuo kikuu unasomea dini
 
kwa akili kama hizi, na mawazo kama haya, na kama ndiyo mijadala kwenye vijiwe na makundi ya watu mbalimbali,

je Tanzania itapiga hatua ya maendeleo?
kweli jpm kazi anayo. kubadilisha hii mitazamo.
Ni tatizo ila kwa kulisema unataka ugomvi humu mkuu
 
Mali za watu ni sumu, jiandae kuliwa kiboga.
 
kwa akili kama hizi, na mawazo kama haya, na kama ndiyo mijadala kwenye vijiwe na makundi ya watu mbalimbali,

je Tanzania itapiga hatua ya maendeleo?
kweli jpm kazi anayo. kubadilisha hii mitazamo.
Ndio nmemuelewa magu pale aliposema anajuta...!?
 
Hii story ya kupikwa....... angalia mwanzo kasema leo asubuhi......... then mwisho anasema kila nikikutana naye...... that means mmeshakutana mara kadhaa siku ya leo...... what a joke. Sometimes tunapotunga story angalau zibebe uhalisia.
 
Toka ulipoona linakuzunguka kichwani ungekula si ungekuwa umeshahau na ushetani ungeshakutoka sasa ungekuwa chuo kikuu unasomea dini
Hongera mkuu nlikuwa sijagundua hili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie uliliona kwa macho
 
Hii story ya kupikwa....... angalia mwanzo kasema leo asubuhi......... then mwisho anasema kila nikikutana naye...... that means mmeshakutana mara kadhaa siku ya leo...... what a joke. Sometimes tunapotunga story angalau zibebe uhalisia.
huwaga wanasahau ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Magufuli afikirie tena kuwafungia hawa watoto kucheza pool mchana maana athari yake wanakuja kutujazia ujinga JF.
 
Mpaka karne hii bado unakwenda kwa watu bila kuwataarifu?
 
kuna kitu kingine uliona ila tu kwa sabababu mawazo yako ulikuwa umeshayahaimishia kwenye hao maumbo, ila je ndiyo mara ya kwanza kuona mpaka uje kutueleza huku?
 
kwa akili kama hizi, na mawazo kama haya, na kama ndiyo mijadala kwenye vijiwe na makundi ya watu mbalimbali,

je Tanzania itapiga hatua ya maendeleo?
kweli jpm kazi anayo. kubadilisha hii mitazamo.
Nchi gani katika ulimwengu huu ambapo mapenzi hayajadiliwi?usikute kuna nchi zinaendekeza ngono kuliko sisi tanzania lakini wamepiga hatua kubwa kimaendeleo.
 
Omba papuchi hio wewe , acha uoga.

Au mpaka uambiwe njoo ule, ndio ujue kilichopikwa kimeiva??
We asigwa wewe sikuwezi kabisa majibu yako yameendana na MO11
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…