Shemeji ananitaka

Nimekumbuka Kuna x Wangu ambae alikua anataka kunioa kabisa lakin haikuwezekana lakin hatukuwah kugombana,..Sasa miaka 3 mbele akawa anawasiliana na bff wng, walitongozania messenger wnywe ,na nilikua naona bff anavofurahi kupigiwa na x wng ,yaan km aliingoja nafac hiyo kwel..kumbe alikua anamtaman kitambo kaka wa watu,..sas mim nikawapotezeaga ..km miaka 5 hivi cku hiyo bff ananipigia anafoka et amechoka kuchangishwa bill ,Kila wakitoka out na x wng lazima achangishwe km bill ni lak atachangishwa 40 ..ye maisha hayo hayawez na nna mjua bff wng ni mchungu wa hela yake hatari ..Sasa alikomeshwa. Atakua alilalwa na kukopwa ila aliogopa kunambia tu..Mungu alinitendea nilikua naumia sana mtu unajua huyu mtu ni x wa bff wako ,alafu unahang nae out bila waswas na kumpa taarifa bff wako(ambae ni mim)khs out hizo ukidhan mi nna moyo wa chuma. Sasa enz Niko nae huyo x ckuwah kulipishwa Chochote,zaid ya kuspoiliwa tu na ndo maana alitakq kunioa na bff alilijua hilo , ,ila mim ndo nilizingua nakiri hivyo ila ni maisha ...mpaka Leo yule bff ,cnaga upendo nae ule wa zaman akipiga napokea lakin hayuko moyon kabisa. nilimchukia sana,wakat yy ma x wake wananitaftaga sana lakin Huwa nafunga vioo coz I value our friendship,bt she doesn't. She is so jealous with me, that's what I discovered..manake Sio x mmoja Kuna x wng mwngne walikutana ngorongoro nae akaanza kusema anatakwa cjui nin,yule kaka alinambia tu pretta huna rafik ,bali mbwa mwitu ana e envy maisha Yako,kaa mbali na huyo bff ,bff aliyasema mengi khs huyo kaka (x wa pili)cjui kaninanga hiv na vile,bas tu yule dada is so toxic (that's what we call toxic friends)..Kwa hiyo ww muandish acha ngebe wala hupendw hata ungekubal,ungeliwa na kutemwa kama big g na kuspoiliwa ungekuskia Kwa bomba hahaha
 
Nahisi huku kujimwambafai huku, kuna mwanaJF anatafutwa hapa aangushiwe jumba. Aone mwanadada ni mgumu asietaka masihara. Kama sio holoholo sijui🤣🤣

Huu sasa umbeya, yamefuata nini JF wakati ulishamkataa😎
 
Nikawaida sana kwetu sisi wanaume, na tunatabia ya kujaribu pale tubapo ona tako ama titi limechangamka..😋
Misioni kesi hapo, wekausha mkuu wala usiwaze
Kati ya wewe Binti Sayuni03 na huyo dada rafiki yako nani ana tako, nani yupo flat, nani namba 8?

Je, mnafanana kisura na kimaumbile.

Sio mbaya, Yakobo ambaye ndiye Israel anakobweka Netanyahu leo alioa Rachel na Leah mtu na mdogo wake, sembuse wewe na rafiki dada.😎😎.

Mwanaume kuzaa. Mzalie mtoto
 
Shemeji mpumbavu sana huyu nilimuona anajitambua ila baada ya hii ishu simuheshimu tena
Vipi ikiwa na yeye alikuwa anakujaribu? Alikubaliana na demu wake akujaribu?

Mkatae uendelee kumheshimu, hujui ya mbeleni anaweza kukujengea heshima kwa kuitwa mrs yeye😎
 
Nahisi huku kujimwambafai huku, kuna mwanaJF anatafutwa hapa aangushiwe jumba. Aone mwanadada ni mgumu asietaka masihara. Kama sio holoholo sijui🤣🤣

Huu sasa umbeya, yamefuata nini JF wakati ulishamkataa😎
Sina shida ya bwana humu aisee huku nilipo nakutana na mitongozo kila siku kwa watu wenye heshima zao lakini namuheshimu niliye naye siwezi kuwakubali, sasa itakuwa huku nije kuwinda ambao siwajui si ntakuwa kichaa
 
Shemela kama Shemela 😅ungemwambia nipe kibunda cha laki tano.
Angetoka spidi mwenyewe 😜
Alivyoanza kuniapproach nikawa namuomba vipesa vidogo kama elf30k hivi eti akaniambia ningemwambia mapema hiyo laki5 si ndo angeniblock kila mahali😁😁🙌
 
Tamaa tu hakuna kipya wanawake ndiyo wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…