kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #21
Imefanyaje mkuu
Kwamba ataibwa😁😁Endelea kumficha hivyo hivyo mtu wako😁
😁😁😁🙌hatari sana mkuuvimbwanga vya masika
mtanganyika akishakua na debe mbili za unga ndani yeye ni ngono tuh kichwani
Ila hapa wanamtetea mwanaume mwenzao ila hawa viumbe😁😁🙌Uzi ungekuwa ni kinyume chakee yani bidada amtake rafiki wa mume wake tungekuwa page ya 10+kashfa za kila namna kwa mwanamke
Fanya mpango basi DonaAlikuwa anakujaribu tu...
Wanaume ni ombaomba wasiojijua linapokuja suala la chini.
Mpe tu usiwe mgumu maisha sio magumu kiasi hichoHapana siwezi kumpa shemeji jamani
Inaumiza sana mashemeji mna nini?Aiseee
Wanaume wapo wengi sana aisee huko sijafikaMpe tu usiwe mgumu maisha sio magumu kiasi hicho
Siyo kaka yangu, hiyo siyo nidhamu hata kidogoAcha uchoyo bi dada mpee hata mara moja aonje, kwani kaka yako huyo?
Kila line lisingekosekana neno MalayaUzi ungekuwa ni kinyume chakee yani bidada amtake rafiki wa mume wake tungekuwa page ya 10+kashfa za kila namna kwa mwanamke
Yote hayo ni mazuri lakini kwanini ni single mum?Ila nyie wanaume kwanini hamna adabu sasa jamani, rafiki yangu ni kamodo flani hivi anampikiaga misosi mitamu anaenjoy tamaa za nini tena huku nje
Ila hapo mwanaume wanamtetea eti😁😁🙌Kila line lisingekosekana neno Malaya
Aliyezaa naye hakuwa sahihi kwakeYote hayo ni mazuri lakini kwanini ni single mum?
Lete zako za kijanja mkuu, uwanja mpana huuWanawake mada zenu nizakijinga jinga tu
Itakuwa haujavutiwa nae, ingekuwa amekuvutia tayari ungeshaliwa, na huu uzi tusingeuona. Ni kawaida yenu wanawake, kidume ambaye hamuhitaji lazima mumsagie kunguni.Siyo kaka yangu, hiyo siyo nidhamu hata kidogo