Shemeji ananitaka

Shemeji ananitaka

Hata wewe unamtaka.... Mtu usiyemtaka huwezi kuchati nae... Na namba anaweza kuchukua bila ruhusa yako!!. Nyie wanawake janjajanja nyingi ila huwa mnaonesha mitego mkiombwa mnakuja kutoa shutuma za kibwgelezee..!!. Shemeji unaemheshimu anakuheshimu kwa dhati bila mitego hawezi kukutaka ng'ooo!!. Na mpaka umekuja hapa basi jamaa kashakula mbubusu na itakuwa linaenda kubumbulika😂😂😂.
Akuombe mbubusu shemegi ukate mazoea na rafiki yako? KWA kipi kibaya? Hii defense mechanism tu ila ushapakuliwa aloo.
 
Hata wewe unamtaka.... Mtu usiyemtaka huwezi kuchati nae... Na namba anaweza kuchukua bila ruhusa yako!!. Nyie wanawake janjajanja nyingi ila huwa mnaonesha mitego mkiombwa mnakuja kutoa shutuma za kibwgelezee..!!. Shemeji unaemheshimu anakuheshimu kwa dhati bila mitego hawezi kukutaka ng'ooo!!. Na mpaka umekuja hapa basi jamaa kashakula mbubusu na itaka linaenda kubumbulika😂😂😂.
Akuombe mbubusu shemegi ukate mazoea na rafiki yako? KWA kipi kibaya? Hii defense mechanism tu ila ushapakuliwa aloo.
😁😁😁sawa naona tulikuwa wote siku ya tukio
 
Sawa kama ungejua hivyo umeleta thread ya kaz gan? Kama ungekua na maamuzi usingeleta Uzi hapa ungejiamulia hukohuko, Kwa maana hiyo hata wewe unamtaka ila unachofanya unatafuta tuu watu wakukusapoti
Nimeleta ili kuwaambia mashemeji wenye tabia kama hizi muache mara moja
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha humu ndani kuwa wewe ni wife material na wanaume wanakupenda sana.

anyway, hebu fanya utaratibu na mimi unifanyie connection ya kupata mwanamke wenye uhitaji wa mume ili tujenge familia.

Sifa za huyo mwanamke nimeweka hapa chini kwenye signature yangu
 
Back
Top Bottom