Shemeji anaharibu ndoa yangu

Shemeji anaharibu ndoa yangu

pole sana mchukue mkeo umkalishe chine akwambie kama unakuaga humtoshelezi kimahaba na ukamwambie na huyo shem wako ache hiyo tabia ukiona bado wanaendelea yafikishe hata kwa wazazi usimuogope ndo atazidi kukudharau mwishowe atafanya hadharani na wewe ukiwa unashuhudia
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

:confused2::confused2::confused2::confused2:

Tatizo naona wewe unawaza kulipa kisasi.........sasa huwezi kula dada yako
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

Yaani wewe na Dada yako mnakazwa (thru ur wife) na mwanamme mmoja. Hii kali
Hakuna cha kufanya, achana naye;
Udhalilishaji aluoufanya haukubaliki.

Bazazi!
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

Pole sana bro, lazima uchukue hatua itisha kikao cha familia usiogope aibu kwani hayo anayokufanyia ni aibu kubwa kuliko ile unayofikiri unaiogopa. Umewahi kumkanya huyo shemejio? kama uliwahi na akaendelea na ufirauni wake basi unatakiwa kumshughulikia hata kwa ngumi. Ndio kaoa dada yako lakini isiwe ndo sababu ya wewe kumwogopa, take action bwana we si mwanaume?. Unaonekana we ni mpole kupitiliza ndio maana anafanya hivyo, angekutana na watu chuma kama sisi lazima angekula Arshenov Khrokorv (AK 47).
 
kuna dada kachukuliwa mume na wifi yake yaani mke wa kaka yake
hizi kk zina tabu kweli kweli
 
Pole sana ndugu bt kuendelea kukaa kimya kama vie huyo jamaa ndiye anaekuweka mjini eti ukiweka mambo hadharani utakosa kula utaishia kupata ukimwi,think fast and act fast.
 
kama unahisi unaweza samehe na kusahau mkanye mkeo usahau ila bado nafikiria adhabu ya kumpa huyo shemejio bila kumujathiri dada yako, ntarudi nikiipata
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

Please if possible isomeke "Mke wangu anaharibu ndoa yetu".......au unamwogopaaaaaaaaaaa.....
 
Ukiona aibu kuliweka wazi,badae itakula kwako..huyo shem ni fisi tu,c vinginevyo.

Tayari inakula kwake kama ni dhahiri kwamba shemejiye anamchukulia mkewe ile kwake mara ngapi??

Kiukweli pole sana ndugu kwa hili. Huyo naamini hastahili na pengine amepoteza sifa za kuwa mke wako. Nasema hivyo kwa sababu ya kiutamaduni kwamba wazazi wako wanamwita mkeo mtoto wao, halikadhalika wanamwita shemegiyo (yaani mume wa dada yako) mtoto wao.... Hivyo hawa wawili ni watoto wa mama/baba mmoja na mantiki hiyo ndiyo maana wawili hawa kikawaida hitana dada na kaka.

Iweje sasa mkeo atembee na kaka yake na bado aendelee kuwa na sifa za kuwa mkeo? Kama ni dhahiri kiasi hicho usishangae na mtoto/watoto wakazaa wawili hawa.... Hali itakuwaje? Si vyema kuhukumu lakini kwa kuwa mwenyewe umesema ni dhahiri na si fununu haina jinsi, huyu si mke tena.

Tafakari, Chukua Hatua tena haraka iwezekanavyo. Huna sababu ya kufikiria cha kumfanya mwanaume mwenzio kwa kuwa huna mkataba naye huwezi jua mwanamke wako ndiye anamtaka.... Dili na mkeo tu....
 
Kwa nini unapunguza umri wako wa kuishi? Liweke wazi yawezekana mkeo ndo chanzo bwana!
 
Back
Top Bottom