Shemeji anaharibu ndoa yangu

Shemeji anaharibu ndoa yangu

huu ubazazi wa watu waliooa na kuolewa familia moja hiz umezidi i see!
sasa mtoa mada we toa tu kitu cha mbavu!
kalisha hapa mkeo,pale shemejio pale dadako!
mpe shemeji makavu za uso!
maamuzi ya dadako yasiathiri maamuzi uliyojiwekea wewe!
 
kazikubwa mbona unakuwa kama kazi ndogo ,yaani unagundua wife anamegwa hlf unakubali kirahisi rahisi tu unakuja kulia hapa kwenye keyboards
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

Kata panga ya shingo huyo Mura dada yako ataolewa na mwanamume mwingine huyo sio wa kuishi naye.
 
kazikubwa mbona unakuwa kama kazi ndogo ,yaani unagundua wife anamegwa hlf unakubali kirahisi rahisi tu unakuja kulia hapa kwenye keyboards

Mi namshangaa huyu jamaa wala hilo jambo sio la kumuuliza mtu,kamata chinja shingo weka mbali kabisa,aiii thatha wane,mwambie aje amle my wife,nitashughulika mpaka ulimwengu utashangaa!!!!!!!!!!
 
Deal na mkeo tu hapo. Hayo ya shemeji achana nayo, alie gegedwa ni mkeo na si vinginevyo
 
Deal na mkeo tu hapo. Hayo ya shemeji achana nayo, alie gegedwa ni mkeo na si vinginevyo

Wewe wanaokula wake za watu hukumu yao ni mambo mawili tu,Kwanza ni kumgegeda na yeye mbele ya mkeo huyo,lakini kama unashindwa kamata kisha kata shingo yake mbele ya mkeo basi hakuna kitu ingine Mura.
 
Still mwenye kosa ni mkeo, usianzishe vita nje wakati kwako mambo si shwari. Cha muhimu kwanza ni kumuweka sawa mke wake ndo aje kwa jamaa.
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...

EEh unaogopa kuweka wazi mambo kisa aibu ya familia????? Ataendelea kumdonyoa mrembo wako mpaka utie akili....

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
heeh kwani mkeo unamuogopa?mana naona thread nzima unalamika kuhusu shemeji tu,pole!
 
Tafuta ushahidi usiokuwa na doubt unaoweza kuupresent kwenye vikao. Kula tigo wife halafu achana nae akijifanya kukushtaki kwa familia toa ushahidi. Hawawezi acha hao.
 
Kama mkeo ameweza kukusaliti kwa shemeji yako ujue kwa watu wengine wanajichukulia watakavyo.
 
Kwani kula Tigo ndio kutasaidia kupunguza hasira za huyu jamaa kut****** mkewe!? Na kama shemeji alishapita mitaa ya huko nako ndio inakuwaje!?

Tafuta ushahidi usiokuwa na doubt unaoweza kuupresent kwenye vikao. Kula tigo wife halafu achana nae akijifanya kukushtaki kwa familia toa ushahidi. Hawawezi acha hao.
 
Achana na matangazo unadhalilika. Pigachini mkeo then anza maisha mapya
 
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...
Hii ni aibu tena ni fedheha kubwa sana yaan kwa alichokifanya shem wako ni sawa na wewe kulala na dada yako..yaan hii aibu haikupaswa hata ww kupata ujasiri wa kuandika hapa JF,ur a man n his a man unachomuogopea nn?kaen nyie wanne ww,mkeo,dada na shem ongea mbaba...afu ongea na mkeo afungashe vilago kama kaweza kutembea na mume wa wifi yake hashindwi kutembea na wadogo zako kaka zako wajomba zako na n.k kua muangalifu aisee we live once sasa we jifanye unaogopa kumbe familia nzima inakuchora tu ka kikatuni...
 
mwenye tatizo ni mkeo, maana yeye ndyo aliyegawa tunda, huyo shemeji yako hajabaka, amekaribishwa na kupewa kwa hiyari, pls deal na mkeo acha kulialia hapa.
 
Pole sana ila huyo shemeji yako hafai hata kidogo na kama yuko humu ajifunze na ajue kua tabia yake hiyo hatujaipenda na wala sio sifa
 
Back
Top Bottom