Shelukindo katikisa Taifa kwa dakika 10 tu.

kweli kaongea ukweli,maana wengi humo bungeni wenye kijani wanapiga kampeni na kuchambuo bajeti ambayo ni maoni ya kambi ya upinzani.is she among viti maalim??maana viti maalum wengi wameenda kulinda nafasi zao ili wapewe next time,ndiyo maana nikasema wabunge wetu sio watanzania maana hawajui hata maisha halisi ya mtanzania.mh.mkono pia kaomgea na kuhoji vitu vya msingi kabisa.shinda wabunge wa nyinyiem,wanajenga ngome ya wanamipasho.badala ya kujibi hoja zenye manufaa kwa wananchi wanaonge upuuzi.na akiri zao wanaona eti wananchi tunawashangaa wapinzani,kumbe wao ndi wanaotushangaza na kutubore.
 
mtoa mada kuna maneno mengine ameyaruka kiufupi akasema kupiga kelele kwa wapinzani ndio kutaisaidia chama tawala kiendele kushika madaraka kitu ambacho kwa upande wangu sikubaliani nacho kabisa.
 
Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.

Tupe clip mkuu sisi wengine tuko mbani na TV kwa sasa
 
Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.
Rudi darasani mkuu
 
Kiukweli Mama Shelukindo Leo amenikuna sana. Nimemsamehe kama kuna madudu yote alofanya huko nyuma. Huo ndio uzalendo tunaoutaka na kuuimba kila kukicha. God bless you more
 
hahaha sio mkutasari, ni muhtasari

Ndugu yangu Chilipamwao pamoja na kukosea "spelling" ulinielewa? Nimewahi kufanya kazi na wakubwa ambao taarifa ikimfikia mezani badala ya kusahihisha mada iliyomo ndani ya taarifa (facts) yeye muda mwingi ni kusahihisha "The, is, an, a"; ndio mfano wako
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa. .sio kama kina zomba humu jf
Kiukweli Mama Shelukindo Leo amenikuna sana. Nimemsamehe kama kuna madudu yote alofanya huko nyuma. Huo ndio uzalendo tunaoutaka na kuuimba kila kukicha. God bless you more
 
Ndugu yangu Chilipamwao pamoja na kukosea "spelling" ulinielewa? Nimewahi kufanya kazi na wakubwa ambao taarifa ikimfikia mezani badala ya kusahihisha mada iliyomo ndani ya taarifa (facts) yeye muda mwingi ni kusahihisha "The, is, an, a"; ndio mfano wako

Hakuna shida usirudie tena sio mkutasari ni muhtasari
 
Kwa kifupi, Beatrice Shellukindo kawaambia wabunge wa CCM kuwa wanachofanya wabunge wa upinzani ni sahihi kabisa, wako hapo kukosoa chama tawala na ndivyo wanatakiwa kufanya kama wabunge wa upinzani. Badala ya kukwashambulia wangechukuwa yale mazuri wanayoambiwa na upinzani.

Pia kasema wabunge wa upinzani wanapenda sana chama tawala na wanachofanya ni kukosoa ili chama tawala kijirekebishe na hivyo kuendelea kubaki madarakani.

Kwa maoni yangu Beatrice Shellukindo ameonesha uelewa mzuri sana wa siasa za vyama vingi ndani ya bunge. Ameonesha kuwa na ngozi mungu jambo ambalo ni muhimu kwenye ulingo wa siasa. Wabunge wa CCM wanaoshambulia wapinzani ni kutoelewa nini kazi za ya wapinzani. Kuna utoto wa hali ya juu CCM!

Huyu kweli namkubali na huwezi kumlinganisha na kina Maria Ibeshi Hewa anayeomba tu bajeti ipite bila kuiangalia kwa kina.
 
huyu mama nakumbuka aliwai kupendekeza ipigwe kura ya kutokua na imani na rais.! nahisi anaujasiri fulani ambao akina mwigulu ni vigumu kuufikia!
 
Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.

Mbona sijauona huo mtikisiko ndugu?hasa kwa sisi tuliopitwa na dakika izo kumi za huo mtikisiko ungetuwekea tukasoma walau kidogo.
 
hamna kitu huyo mama hana lolote kapiga porojo kama kawaida yao eti wapinzani waendelee kukosoa ili NYI NYI EM iendelee kutawala nani kasema????
 
Huyu Mama ndio first Class Economist siyo wakina Nchemba wanaongea as if wako sayari yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom