Sheli ya Engen Arusha yafungiwa, yalindwa na polisi

Mjadala Mzuri ... Nimefaidi taarifa iliyokusudiwa

... Na...

Ubishi maalumu wenye kueleimisha Juu ya majina VITUO VYA MAFUTA!

Hapo mkuu umechemsha! Wala Sheli siyo Kiswahili bali ni Kisukuma, maana yake ni jozi ya ng'ombe wa kulima wakifungwa pamoja inakuwa ni sheli moja hiyo.

Kwa hiyo huyo ndugu anayetulazimisha tuamini kwamba SHELI ni kituo cha mafuta tumekataa!! Hiyo mkuu ni kampuni ya mafuta kama ilivyo ENGEN!

Nani kazungumzia kisukuma hapa?

Shell=sheli?

Mjadala Mzuri ... Nimefaidi taarifa iliyokusudiwa

... Na...

Ubishi maalumu wenye kueleimisha Juu ya majina VITUO VYA MAFUTA!

Tunajaribu kuwasaidia vilaza kuielewa lugha ya kiswahili lakini vichwa vizito kama nini

Sasa maana ya sheli ni nini?

Majina ya kiswahili huwa yanaishia na{A e i o u}.

Sasa iyo shell linaishia na izo za kwenye mabano hapo juu?
Sasa utajipa jibu mwenyewe kama kati ya

SHELL na SHELI ipi ni kiSWahili au la.

Well, naona mmetoka ne ya mada.
Sababu ya petrol station hiyo kufungwa ni kua mmiliki wake amekiuka makubaliano na wenye depot kwa kuacha kununua depot ya engen na kuhamia kwingine huku mkataba ukiwa haumruhusu.
Tatizo kubwa ni kwamba kwa wanaoingia mkataba kama huo (retails) wanabanwa na bei kubwa kutoka depot ili wenye depot waweze ku-recover investiment cost zao.
Sasa mmiliki huyo (Babu Masawe) kuona hivyo, akaamua kununua kwengine (wanaita ku-dump) na ndipo Engen walioamua kumnyang'anya kituo.
Labda iwe tu kua hata Engen kituo si cha kwao moja kwa moja bali wamekikodisha kwa huyohuyo Babu Masawe ila kwa kua muda wa kukirudisha bado basi wana haki zote.

Zaidi waweza kumpata (aliekua) meneja mwendeshaji bwana Raymond akupe data zaidi kupitia 0754478966

Shark msalime mbonile wa kuleeeeeeeeee, tehe tehe tehe. Well said, Shark.

Back
Top Bottom