Sheli ya Engen Arusha yafungiwa, yalindwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheli ya Engen Arusha yafungiwa, yalindwa na polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mungi, Aug 26, 2011.

1. Mungi

Mungi JF Gold Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 444
Trophy Points: 180
Wana JF

Wakuu mida ya jioni nimepita maeneo ya Ilboru, nimekuta sheli ya kampuni ya Engen imewekwa barrier, polisi pamoja na maaskari wa kampuni ya ulinzi wamejaa pale wanalinda. sijajua tatizo nini, mwenye kujua atujuze.

nawakilisha

2. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Mbona title haieleweki. Kila siku nimekuwa nikisema kwamba Shell, kama Engen, nayo ni kampuni ya mafuta. Sasa Shell ya Engen maana yake nini? Yaani ni sawa na kusema ''ITV ya TBC leo haipatikani''

3. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#3
Aug 26, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Uwe mstaarab wangapi wanajua kama wewe?

Tuache tuamin kama tunavyoamini.

Sheli limeshazoeleka kama ni kituo cha mafuta.

Sasa ubaya uko wapi?

4. Mzee wa Rula

Mzee wa Rula JF-Expert Member

#4
Aug 26, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 8,177
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
Ngoja nimuulize rafiki yangu aliye Engen makao makuu anijuze kulikoni?

5. Mungi

Mungi JF Gold Member

#5
Aug 26, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 444
Trophy Points: 180

Mkuu asante kwa bandiko lako, muhimu ni the massage sent! Shell ya Engen mbona inaeleweka?

6. Preta

Preta JF-Expert Member

#6
Aug 26, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
umempata.....?

7. s

sweke34 JF-Expert Member

#7
Aug 26, 2011
Joined: Sep 28, 2010
Messages: 2,533
Likes Received: 10
Trophy Points: 135

Sheli ya Engen, Sheli ya BP, Sheli ya Shell..n.k

8. M

Mrdash1 JF-Expert Member

#8
Aug 26, 2011
Joined: Sep 21, 2010
Messages: 1,379
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Hii tabia legelege ndo inaturudisha nyuma na kutuaibisha. Hakuna shell ya engen, kama ni mazoea basi hayo ni mazoea mabaya ya akili mgando zisizotaka ufahamu. Shell ni kampuni ya mafuta kama ilivyo BP, Total, Engen nk. Tusitiane aibu hapa bana!

9. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#9
Aug 26, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Jama! Wengine 2po mbali na Jiji majira haya! 2juzeni kinachojiri mpk sasa.

10. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#10
Aug 26, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 359
Trophy Points: 180
Mpe muda kidogo...umesahau leo ni weekend.

11. Preta

Preta JF-Expert Member

#11
Aug 26, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
Toka huko....unafanya nini w/end huko nje ya mji......?

12. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#12
Aug 26, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135

Uwe unakuwa bas. Wewe kuna neno gan la kisw linaishia na L?

Wanasema SHELI. Wewe walazimisha mambo ya shell.

Sheli ni neno halisi la kiswahl.

13. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#13
Aug 26, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 359
Trophy Points: 180
Hii haina tofauti na ile ya my waifu wangu

14. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#14
Aug 26, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 359
Trophy Points: 180
Sawa mkuu lina maana gani.

15. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#15
Aug 26, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

Labda anafikiri ni kifupi cha Shelikindo.

16. Mwamikili

Mwamikili JF-Expert Member

#16
Aug 26, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 416
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
chell ya engen, chell ya bp!!

17. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#17
Aug 26, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

Sheria inasemaje?

18. Mzee wa Rula

Mzee wa Rula JF-Expert Member

#18
Aug 26, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 8,177
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
Ndiyo nimeshampata,

Nashukuru kwa kunitetea maana Preta alitaka kunibana, Ok ukweli wenyewe ni huu, Engen zipo mbili yaani kituo Mianzini cha na kile kilichopo Makumira. Chenye matatizo ni kile cha Mianzini kilicho opposite na jengo na PCCB au karibu na Lenana bar. Kile kituo siyo cha Engen kwa maana ya ardhi lakini mwenye ardhi aliingia mkataba na kampuni ya Engen atengenezewe sheli ile kisha atakuwa ananunua mafuta Engen kwa muda wa miaka 15. Jamaa saizi hanunui tena mafuta Engen hivyo Engen wamekifunga kituo hicho baada ya jamaa kwenda kinyume na makubaliano au mkataba. Ndiyo maana umeona polisi mitaa hiyo wakilinda amani ili isitokee vurugu.
Engen iliyopo mitaa ya Makumira kuanzia ardhi mpaka sheli zote ni mali ya Engen hivyo yenyewe haina mgogoro.
Hi hayo tu wakuu.

19. Mungi

Mungi JF Gold Member

#19
Aug 26, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 444
Trophy Points: 180

Sheli: Kituo cha mafuta. Engen: Mmiliki wa kituo cha mafuta. Hii ndiyo bongo waungwana kwahiyo siyo kosa kusema sheli ya Engen. Mzee Kifimbo cheza hajafika huku umasaini, bado anawatandika watu wa pwani, akija huku tutanyoosha kiswahili

20. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#20
Aug 26, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 359
Trophy Points: 180
Hata wao hawakufuata standards za mikataba ya biashara huwezi ku terminate contract kwa njia ya kihuni namna hiyo. Anyway ngoja nisihukumu inawezekana njia waliyotumia iko kwenye mkataba wao.

Loading...