SHEKHE Ang’aka; Asema CHADEMA si Chama cha Wakristo

SHEKHE Ang’aka; Asema CHADEMA si Chama cha Wakristo

Status
Not open for further replies.
baada ya udini na ssa ugaidi jiulze nni ktafuata!kumbuka TANGANYIKA niyetu wote kwa pamoja tuungane kuilinda dhidi ya wakoroni weusi.
 
Huyu Sheikh anatakiwa kumuhoji kiongozi wake Dr Slaa ataje majina ya misikiti ambayo anasema JK alikuwa anafanya kampeni wakati wa uchaguzi mkuu.
 
Magamba wanapata shida sana ukweli unapowekwa hadharani aibu yao hadi kiama chao.
 
Huyu Sheikh anatakiwa kumuhoji kiongozi wake Dr Slaa ataje majina ya misikiti ambayo anasema JK alikuwa anafanya kampeni wakati wa uchaguzi mkuu.
Shekhe kasema CHADEMA si chama cha kikiristo akikusudia kwamba ni chama cha watu wote na si cha watu wa dini fulani na wala hawana mfungamano wa kidini na dini yeyote.Sasa nawe ungekuwa na nia ya kujenga ungetakiwa useme CCM si chama cha dini "A" au "B" na ulete mifano Ili kuthibitisha kama alivyothibitisha shekhe.Hii ingetusaidia kwenda kwenye conclusion kwamba vyama vya siasa nchini vilivyosajiliwa na John Tendwa si vyama vya kidini bali vya kisiasa.Hivyo kila anayedai kwamba cha mwenzake cha kidini basi huyo ana lengo la kuleta faraka na anatakiwa kukosolewa.Kinyume chake mimi na wewe tutakuwa tunaendeleza tatizo.
 
Huu ni unafiki ulioasisiwa na CCM alafu kwa sasa na wenyewe wanajidai kupinga udini.
 
It is better to have HIV virus in your blood than to have CCM ideas in your brain. Full stop!
Bora huyu kaliona hili maaana vijana makini ccm wameisha wamebaki mazuzu tu,kwanza hawaja jibu maswali ya mh.tundu lissu ni lini cuf imeacha kuwa chama kiislamu wenye msimamo mkali??na ni lini chadema imeacha kuwa chama cha wakatoliki???
 
Aidha Kitilla aliyetaja namba zake 0754-512347 alidai, anawamatafuta Viongozi wakuu wa Chadema wasio Wakristo Mbunge Said Arfi, Zitto Kabwe (MP), Prof. Abdalah Safari, Halima Mdee (MP), Hamad Yusuph, Issa Mohamed na wengine ili awaulize M4C kuna udini? Wakisema hakuna atajiunga huko!

My take;Wote kwa pamoja tukijitahidi kuwa wakweli tutaweza kusonga mbele.

hapo penye red aje atujuze mwenyewe
 
Njaaa njaaaa! Jamani baada ya muda huyo shehe utasikia keshabadilisha msimamo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hauhitaji kuwa na degree kujua CDM ni chama cha udini, ukabila na ukanda. Huyu, shehe ni wale wanao nunuliwa na cdm ili kuondoa hili doa, km walivyo fanya kwa Prof. Safari. Kwa hili la udini cdm haisafishiki hata chembe hata mlete thread ngapi humu ndani.

mbona we mwenyewe ni mdini?
tumesanuka hatudangantiki tena.
 
mbona we mwenyewe ni mdini?
tumesanuka hatudangantiki tena.
umesanuka wewe na nani? CHADEMA itawapata haohao mashekh ubwabwa tu, maana hata Nyerere aliwatumia haohao ktk arakati zake.
 
Amenena ukweli mtupu, upotoshaji haudumu milele!
Ivii tangulini Alima Mdee amesilimu nakuwa muislamu? Au huyo shekh wenu ame babaika na jina?
Yule ni mgala na sijui jina la ALIMA kalipata wapi?kuna haja ya mbunge huyu aje ajibu shtuma hizi.
 
SHEKHE wa Msikiti wa Nunge Dodoma, Shabani Kitilla, amewang'akia watawala na Viongozi wanaopotosha ukweli, akipinga kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) si Chama cha Kikristo, Kikabila au Kiukanda....
CHADEMA ni ya wakristu, CUF ni ya waislam, CCM ni ya wapagani?
 
Kweli njaa ni janga kubwa. Nafikiri mstari wa mwisho umejipambanua kuwa anataka kuwa Mwanachama wa Chadema.

Mpeni elfu tano tu itamtosha akatulize njaa yake.

Kwani naona hapo anachanganya Dini na Siasa. Kwa mlio Tanzania Vipi Sheikh Mtopea ameishia wapi siku hizi?
 
Nchi ikikushinda kutawala, unasingizia kuwa umeshindwa kwa sababu kuna udini au ukabila.....na unajitahidi kuupalilia kadri uwezavyo kwa mlango wa nyuma
 
Sheykh huyo tatizo lake ana elim ya dini tu.

Kweli njaa ni janga kubwa. Nafikiri mstari wa mwisho umejipambanua kuwa anataka kuwa Mwanachama wa Chadema.

Mpeni elfu tano tu itamtosha akatulize njaa yake.

Kwani naona hapo anachanganya Dini na Siasa. Kwa mlio Tanzania Vipi Sheikh Mtopea ameishia wapi siku hizi?

Divide and Rule!.. Tumia vijana wachache waeneze udini ili CUF itambulike ya WAISLAMU na CHADEMA ya wakristo. Wenye akili tunajiuliza CCM inabaki na watu wa DINI gani?..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom