tukamuulize JK ile misukule na majini yanayomlinda yatakula nini kwa sasa?misukule na majini itakuwaje?
Kwani alijitabiria kwamba atakufa leo?
otherwise kama hakujitabiria atakufa leo na kafa kweli, basi kazi yote ya utabiri aliyoifanya katika maisha yake ni ya uongo kama hajaweza kujitabiria mwenyewe.
Haya Haya sasa, wale wanaotaka kumdhuru mkulu ndo nafasi yao hii maana mlinzi wake mkuu kaondoka now hadi atafute mwingine mtakuwa mmeshammaliza.
I think you meant CCM instead.
Breaking news redio one wanasema jamaa kweli kaishia! RIP
Mtu mwongo,mchawi,mchonganishi hawatauridhi ufalme wa mbinguni labda uko kwa mabikira 80.....
huyu shehe alikuwa mwongo,mchonganishi na mchawi vile vile
Hizo ndio pete zake za majini alizompa JK aendelee kuwafanya watz mambumbumbu