usimhukumu. sio kazi yako. mwachie mwenye kazi ya kutoa hukumu kwa wanadamu. ameshafariki ziara yake ya duniani imefikia kikomo. yamfuatayo yako nje ya mikono yetu. nadhani huitaji kuwa Mtanzania kulijua hili. mweshimu marehemu..at least kwa masaa machache ambapo mwili wake tutaendelea kuwa nao hapa duniani. sijaipenda hii comment yako asilani. Hata kama sikuwa nakubaliana na mambo yake. please!