Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Unaona sasa haukuwa makini na uandishi wa title yako umesababisha nikimbilie nyumbani kuangalia ujinga wa TBC, ili nivunje TV yangu, kumbe ni wewe unayepotosha Umma. Badilisha haraka hiyo title yako au jiandae kwenda mahakani kujibu mashtaka ya kuzua uzushi, kuudanganya na kupotosha Umma.
 
wakijaribu kufanya hivyo hakika tutaenda kuwatoa kwenye ofisi zao,maana lile ni shirika la taifa la utangazaji wala si kwaajili ya waganga wa kienyeji wa viongozi wetu wa kitaifa!
 
Sitashangaa wakionesha kwani alikuwa Mchawi maarufu sana nchini na natumai maamuzi mengi ya kitaifa yakiwemo ya Dokta Dokta Dokta JK alikuwa anayachangia sana... namshangaa Dr Dr Dr JK ajatangaza Jumatatu iwe siku ya maombolezo... please tangaza please...
 

Kweli kabisa mkuu, mi niliposoma heading tu nikaanza kutune TBC nikidhani kuwa wanaonyesha live
 

mmmhh!!Khaaa! Hizi dini haya mama we huna dhambi na utaenda peponi.
 

hii heading inapotosha sana, haafu nikusahihishe hapo kwenye blue.....ni mchawi maarufu Afrika Mashariki, Kati na Ulaya kwa pamoja......I mean mchawi
 
Hamushangai mukisoma kwamba Egyptian mummies walikuwa wanasafishwa utumbo na kuwekewa dawa kufanyiwa mummification, munakuja kushangaa leo waislamu wanafanya hivyo?

Kila mtu ana dini yake na imani yake anayoyafanya hayamuhusu asiyehusika. Hebu tuheshimiane jamani.
 
Acha upimbi umeandika kinafiki huna mpango.usichekelee msiba.shikashika puu
 

Heshima kwako FaizaFoxy.

Naomba kujuzwa hii maneno ya kukamua maiti kabla hajaswaliwa na kuzikwa nimezisikia sana bahati mbaya sijapata darsa toka kwa wanazuoni wa kiislam kuhusiana na zoezi zima na ukamuaji.Naomba kuuliza maswali machache kwa faida ya wote wasiojua taratibu za mazishi za ndugu zetu waIslam.

[1] Ni lazima kila muIslamu kabla ya kuswaliwa na kuzikwa akamuliwe uchafu wote tumboni ?.

[2] Je ikitokea maiti imeharibika sana eg ajali taratibu lazima za kukamuliwa laziama zifuatwe na kuzingatiwa ?.

[3] Kuna magojwa ya kuambukiza eg; Kipindupindu ikithibitika marehemu kafa kwa ugonjwa huo taratibu zikoje NB;Naomba uquote kitabu kitakatifu Quran.

[4] Nani wanahusiaka na hili zoezi gumu na lakutisha ?.Masheikh na nk.Je mwanamke anaoshwa na mtu yoyote mfano mwanaume.

[5] Naomba hadith kutoka Quran kama mitume na manabii walifanyiwa hivyo au ni utaratibu wa waIslam wa Tanzania tu.

[6] Je zoezi la ukamuaji ndio sababu kuu za uharakiswaji wa mazishi ya waIslamu.nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kwanini MuIslam akifa anazikwa mara moja.Ebu fikiria mtu kafa wiki mbili au tatu kumkamua m.a.vi itawezekana kweli ?.
 

Heshima kwako bitimkongwe,

Mambo ya wamisri yametoka wapi ?.Bado sijaona uvunjaji wa heshima kila mtu anaheshimu dini ya kiislam kama kuuliza swali ni kudharau dini yako nadhani hustahili kuwa JF.
 
Faiza imani ni jambo tete.Ukianza kukashifu imani ya mwenzako utajikuta wewe ndio unaumia.Hafu yaonekana una jazba.Si unajua
tena imani yako kwa mfano imejengwa na utaratibu wa kiarabu.Mpenzi acha kabisa kukashifu imani !!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…