Na leo ndio nimepata siri kwamba huyu Sheikh ubwabwa kumbe alizaliwa Bagamoyo.
Kwahiyo wewe unaunga mkono huyu mchawi kutabiria binadamu wenzake vifo? aliwahi lini kuongea na mungu? na je majini yake sasa hivi yako wapi? huyu ni pepo mbaya, kifo chake ni GREAT RELIEF kwa Taifa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH YAHYA HUSSEIN
DKT = dikteta?
Sasa, nafasi ipo wazi kwa mh.shibuda kugombea urais!!
This really is an adolescent reasoning. Wewe ni mtu wa aina gani unayefurahia kifo cha binadamu mwenzio? Mbona una tabia za kigaidi? Lakini nikukumbushe kwamba waliomping Slaa kwenye ucahguzi uliopita walikuwa zaidi ya watano. Hakuna popote ambapo mnajimu huyu alisema Slaa atakufa. Ushabiki wa kitoto tuuu!
You fully seem adolescent yourself for you can not read between the lines. Yahya said "Kikwete's contestants would die".
Who were his contestants?? It was clear through out the election time that all the opposition parties were in favor of CCM fronted by Kikwete. They also openly criticized CHADEMA in all ways, you also know this unless you are adolescent.
So who were Kikwete's contestants? of course, CHADEMA. Who was the candidate? Of course, Dr. Slaa. So who was to die? Of course not CHADEMA, it was Dr. Slaa. So huu sio ushabiki wa kitoto ni kutumia akili kidogo tu ku-analyze mambo and you get to the right answer.
Kwani wewe ulitaka mpaka Yahya Asema na majina ndo ungeelewa, ahaa! kama ni hivy iko kazi. Hata mafumbo ya Darasa la NNE kaka haukusoma???
Yaani mijitu mingine imezaliwa ili iishi kwa visasi. Ni relief kwako wewe unayeamini siasa za elimination. Wewe ulivyo myopic unadhani kila anayemkosoa au kukosana na Slaa basi huyo ni adui wa umma. Mshauri aaznishe dini yake ili mumuabudu maana naona kila atakachokuambia basi kwako ni kama gospel truth!
kama kumpinga Dkt Slaa ni kumpinga Mungu na unaweza ukafa ukimpinga slaa,NASEMA KAMA SLAA NDIYO MUNGU MM NAMPINGA,NA NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUMPINGA SLAA,achen mawazo ya kitoto,CCM haiwezi kufa kwa kifo cha Shekhe Yahaya,kwani maisha ya Shekhe Yahaya haikuwa Vision ya CCM.
That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
kumbe kila kitu kinamfikia sio?ingekuwa taarifa ya umeme kukatika au watu kukpigika hataki kujibi anajifanya hajasikia kumbe anapata taarifa zote wajameni
Ni mch.gwejima wa ufufuo na uzima kawe.Kuna mchungaji aliwahi kutabiri kuwa shekh yahaya hamalizi mwaka huu, naona imekuwa kweli ingawa hakuna ajuaye siku ya kufa mtu mwingine wala siku ya kufa yeye mwenyewe
kama kumpinga Dkt Slaa ni kumpinga Mungu na unaweza ukafa ukimpinga slaa,NASEMA KAMA SLAA NDIYO MUNGU MM NAMPINGA,NA NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUMPINGA SLAA,achen mawazo ya kitoto,CCM haiwezi kufa kwa kifo cha Shekhe Yahaya,kwani maisha ya Shekhe Yahaya haikuwa Vision ya CCM.
aisee ngoja kwanza maana jf hapa kuna ishu za ku rip watu then zinakuja kukanushwa!
Kiswahili kinasumbua sana. Kuna haja ya kupita jukwaa la lugha. Matumizi ya h ni tatizo kubwa saana.Nenda Yahya Nenda nenda, nenda ututangulie,
Msalimie Amina, Amina mwana Chifupa,
Msalimie Kawawa, Pia salome Mbatia,
Nenda Kathibitishe, kama balali kafika
Mpe salamu Kitwana, Mwalimu hunto muona,
Nenda mwambie Kawawa, nchni imechafuriwa,
Nenda nimekutuma, hujifanye kutabiria,
husijifanye kutabiria, kuwa nchni imechafuka.