sas kazi ni kwenda kuzitoa zile "erectric fences" alizoseti sheki, maana huwa zinageuka baada ya muda na kuasi
May Allah rest his soul in the eternal peace
Yule kigori aliyeolewa hivi karibuni atarithi utajiri wake wote. Kumbe aliona mbali.
we fide weweKwa mujibu wa chanzo changu cha kuaminika pale kwenye bar karibu kabisa na kwa sheikh wanasema alikuwa anajivua gamba na sumu sasa akazidisha mpaka akachuna ngozi imemplekea mauti
He died this morning at his Magomeni home.
Kwa mujibu wa mwanawe aitwaye Hassan, Sheikh yahya amefariki kutokana na heart failure. Aliamka asubuhi ya leo akiwa buheri wa afya, akaanza kazi yake ya kuona wenye matatizo wanaokuja kwake.
Kama kwenye saa tatu hivi, akaanza kujisikia vibaya, akapewa glasi ya juisi lakini hali haikutulia. wakaamua kumkimbiza katika hospitali moja maeneo ya Morocco na alipofikishwa hapo madaktari wakasema tayari ameshafariki dunia.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake na atazikwa kesho jijini Dar.
Ameimaliza safari yake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina
Huyo bi mdogo aliolewa akiwa na miaka 11.
Malaria Sugu upo wapi?? Kwa nini Sheikh Yahya hawajamzika leo? Au ndo mikakati ya kurithi huyu bi mdogo?
Wamemhifadhi msikitini
Huyo bi mdogo aliolewa akiwa na miaka 11.
Akawa analala na wake wakubwa wa huyu JINI
Alipotimiza 15 akaanza kumegwa kama kawa babu
Huyu binti kweli alikuwa alikuwa anafikishwa kwenye ulimwengu ule? aaaaah majini yalikuwa yanamfikisha
osama si yupo baharinni?yupo mbinguni akifaidi bikira 80
Huyu jini aliharibu wamama wa uswahilini kisa Sheikh kasema niweke ubani, mavi ya paka na mfupa wa fishi kwenye supu yangu nitauza extra volumes.
Mungu amrushe kule aliko Osama