Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Kinachonishangaza maiti ya huyu mchawi imehifadhiwa msikitini badala ya monchwari.
 
Namwomba Mola anisamehe, kifo cha sheikh yahya hakijanisikitisha kabisa

Duu aisee! Wanadai kila kilichozaliwa na Mwanamke kitaonja mauti. Kwa matendo yake nadhani sasa yuko Kuzimu.
 
kama tunapima kheri ya mtu akiwa hai kwa kuagwa kwake, basi sheikh si mwenye kheri hapa JF

inauma sana uchungu
 
:target::target::target::target::target::target::target::target: mmhhhh

:target::target::target::target::target::target::target: hii kitu sirias aisee:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:

lakini tumeambiwa kwamba kila nafsi itaonja mauti
 
yupo mbinguni akifaidi bikira 80

Huyu jini aliharibu wamama wa uswahilini kisa Sheikh kasema niweke ubani, mavi ya paka na mfupa wa fishi kwenye supu yangu nitauza extra volumes.

Mungu amrushe kule aliko Osama
 
Yule kigori aliyeolewa hivi karibuni atarithi utajiri wake wote. Kumbe aliona mbali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…